Maana ya neno "INRI" lililoandikwa juu ya msalaba mda kama huu

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,778
Reaction score
8,232
Herufi "INRI" ni ufupisho wa maneno ya Kilatini "Iesus Nazarenus, Rex Iudaeorum," ambayo tafsiri yake ni "Yesu Mnazareti, Mfalme wa Wayahudi."
Kulingana na Injili ya Yohana (19:19-20), maandishi haya yaliandikwa na Pontio Pilato na kuwekwa juu ya Yesu msalabani. Biblia inasema kwamba maandishi hayo yaliandikwa katika lugha tatu: Kiebrania, Kilatini, na Kigiriki, ili watu wengi waweze kuyasoma.
Matumizi ya "INRI" kwenye misalaba na maonyesho mengine ya Kusulubiwa ni ishara ya jadi katika Ukristo, kuwakumbusha waumini sababu ya kusulubiwa kwa Yesu kama ilivyotangazwa na mamlaka ya Kirumi.
Yesu alikata roho saa tisa na nusu alasiri mda kama huu.
 
Attachments

  • FB_IMG_1744978463614.jpg
    FB_IMG_1744978463614.jpg
    19 KB · Views: 41
Muda Kama huu picha halisi tunaipata kumuhusu Yesu Kwa undani kabisa .naam maneno haya yanatamkwa muda huu.

"ELOI ELOI LAMA THABAKITHANI"

Yaaani
"Mungu wangu MUNGU WANGU MBONA UMENIACHA?

Kaka Kama ulitenda dhambi yoyote nafsini kwako ulipokuwa msalabani lambda uligoma kufa mpaka Mungu akatuma mtu akutandike mkuki tubu mapema kabla makosa hayajajirudia 😁😁😁
 
Yani alisema Mungu wangu mbona umeniacha halafu kuna watu wanasema yesu ni Mungu!.. oya mnatuchanganya kondoo aisee!..🤣
 
Hapa panashida mkuu Acha Tu sijawai ona contradiction kubwa Sana ndani ya biblia Kama hii .
 
Weka baadhi tuchangamshe macho kabla ya Tues .uwanja NI wetu
Mungu kuwa muweza wa kila kitu!, hii kauli inajitafuna yenyewe kwa maana at the same time anatakiwa aweze kila kitu na asishindwe kila kitu!..
kwa mfano huu rahisi utaelewa.

si anaweza kila kitu basi atengeneze jiwe ambalo hawezi kulibeba!, akishindwa Kutengeneza hilo jiwe maana yake hawezi kila kitu na endapo akitengeneza na akashindwa kulibeba basi hawezi kila kitu...!!!!
 
Mkuu hoja yako unaingia Sana Kwa habari za nuhu na yona mfano Mwanzo 6:17-18 .

Kwa uweza wake Bwana Mungu anaapa kuangamiza vyenye uhai anasema"Tazama Mimi nitaleta gharika juu ya NCHI kuharibu kila kitu chenye uhai..."

Ukiendelea na kisa hiki utagundua mashaka yafuatayo.

1.Mungu Hana uwezo WA kuangamiza dunia .nakuona dhambi za dunia hata Kwa mteule Wake nuhu Kwa maswali yafuatayo
1.baada ya gharika NI Kwa nini nuhu alikunywa pombe ?

2.kwanini nuhu alibaki uchi.?

3.je nikibaki uchi mtu akaniona NI uchi amelaaniwa ?

4.watu weusi asili Yao NI wapi ? Laana au NI jua limewaunguza .(Wimbo ulio Bora 1:6)

Uweza WA Mungu WA kufanya Jambo likatimia Una mashaka.

Manabii Hawa waliokimbia Mungu baadae ya kuhisi kuna shida.

1.Yona.
2 .mitume WA Yesu walitaka kurudi nyuma .
3.Yakobo aliteguliwa mguu baadae ya kuonekana ana mbio hivyo angeweza ata kumkimbia Mungu .
 
tabu sana!
 
Naomba kupewa kirefu cha hiyo INRI
kama I ni iissa
kbma N ni nazaret
 
Hakuna kiumbe kinachoutwa yesu kiliwahi kuwepo kwenye uso wa dunia wala popote pale zaidi ya stori za kutungwa za kale kama hawafu shujaa,kibanga ampiga mkoloni,chopeko na mnofu,superman,tom and jerry nk ,ongeza na zako
 
Sasa kama Yesu hakuwepo Ukristo umetoka wapi,
 
Ukristo ulianzishwa karne ya 3 na mfalme wa roma constantine ambae hakuwa na dini yoyote ,alichanganya imani za kiyahudi ,kiafrika na za kipagani ,akazaa ukristo feki mbao ndio unaishi hadi leo,hii ilimuongezea nguvu kwenye utawala
 
Soma vizuri history ya Ukristo kisha urudi tena.
Ukristo umekuwepo hata kabla ya uwepo wa mfalme consantine hata mimba yke tu kuwepo duniani
 
Back
Top Bottom