The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Yani alisema Mungu wangu mbona umeniacha halafu kuna watu wanasema yesu ni Mungu!.. oya mnatuchanganya kondoo aisee!..🤣Muda Kama huu picha halisi tunaipata kumuhusu Yesu Kwa undani kabisa .naam maneno haya yanatamkwa muda huu.
"ELOI ELOI LAMA THABAKITHANI"
Yaaani
"Mungu wangu MUNGU WANGU MBONA UMENIACHA?
Kaka Kama ulitenda dhambi yoyote nafsini kwako ulipokuwa msalabani lambda uligoma kufa mpaka Mungu akatuma mtu akutandike mkuki tubu mapema kabla makosa hayajajirudia 😁😁😁
Hapa panashida mkuu Acha Tu sijawai ona contradiction kubwa Sana ndani ya biblia Kama hii .Yani alisema Mungu wangu mbona umeniacha halafu kuna watu wanasema yesu ni Mungu!.. oya mnatuchanganya kondoo aisee!..🤣
Hiyo ndogo tena ndogo sana na inajibika!, zipo contradiction kubwa kubwa!Hapa panashida mkuu Acha Tu sijawai ona contradiction kubwa Sana ndani ya biblia Kama hii .
Hiyo ndogo tena ndogo sana na inajibika!, zipo contradiction kubwa kubwa!
Mungu kuwa muweza wa kila kitu!, hii kauli inajitafuna yenyewe kwa maana at the same time anatakiwa aweze kila kitu na asishindwe kila kitu!..Weka baadhi tuchangamshe macho kabla ya Tues .uwanja NI wetu
Mkuu hoja yako unaingia Sana Kwa habari za nuhu na yona mfano Mwanzo 6:17-18 .Mungu kuwa muweza wa kila kitu!, hii kauli inajitafuna yenyewe kwa maana at the same time anatakiwa aweze kila kitu na asishindwe kila kitu!..
kwa mfano huu rahisi utaelewa.
si anaweza kila kitu basi atengeneze jiwe ambalo hawezi kulibeba!, akishindwa Kutengeneza hilo jiwe maana yake hawezi kila kitu na endapo akitengeneza na akashindwa kulibeba basi hawezi kila kitu...!!!!
tabu sana!Mkuu hoja yako unaingia Sana Kwa habari za nuhu na yona mfano Mwanzo 6:17-18 .
Kwa uweza wake Bwana Mungu anaapa kuangamiza vyenye uhai anasema"Tazama Mimi nitaleta gharika juu ya NCHI kuharibu kila kitu chenye uhai..."
Ukiendelea na kisa hiki utagundua mashaka yafuatayo.
1.Mungu Hana uwezo WA kuangamiza dunia .nakuona dhambi za dunia hata Kwa mteule Wake nuhu Kwa maswali yafuatayo
1.baada ya gharika NI Kwa nini nuhu alikunywa pombe ?
2.kwanini nuhu alibaki uchi.?
3.je nikibaki uchi mtu akaniona NI uchi amelaaniwa ?
4.watu weusi asili Yao NI wapi ? Laana au NI jua limewaunguza .(Wimbo ulio Bora 1:6)
Uweza WA Mungu WA kufanya Jambo likatimia Una mashaka.
Manabii Hawa waliokimbia Mungu baadae ya kuhisi kuna shida.
1.Yona.
2 .mitume WA Yesu walitaka kurudi nyuma .
3.Yakobo aliteguliwa mguu baadae ya kuonekana ana mbio hivyo angeweza ata kumkimbia Mungu .
Ni contradiction kama umeshindwa kufungua codes zilizopoHiyo ndogo tena ndogo sana na inajibika!, zipo contradiction kubwa kubwa!
"Iesus Nazarenus, Rex IudaeorumNaomba kupewa kirefu cha hiyo INRI
kama I ni iissa
kbma N ni nazaret
Sasa kama Yesu hakuwepo Ukristo umetoka wapi,Hakuna kiumbe kinachoutwa yesu kiliwahi kuwepo kwenye uso wa dunia wala popote pale zaidi ya stori za kutungwa za kale kama hawafu shujaa,kibanga ampiga mkoloni,chopeko na mnofu,superman,tom and jerry nk ,ongeza na zako
Ukristo ulianzishwa karne ya 3 na mfalme wa roma constantine ambae hakuwa na dini yoyote ,alichanganya imani za kiyahudi ,kiafrika na za kipagani ,akazaa ukristo feki mbao ndio unaishi hadi leo,hii ilimuongezea nguvu kwenye utawalaSasa kama Yesu hakuwepo Ukristo umetoka wapi,
Soma vizuri history ya Ukristo kisha urudi tena.Ukristo ulianzishwa karne ya 3 na mfalme wa roma constantine ambae hakuwa na dini yoyote ,alichanganya imani za kiyahudi ,kiafrika na za kipagani ,akazaa ukristo feki mbao ndio unaishi hadi leo,hii ilimuongezea nguvu kwenye utawala