Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 190
Wenye kufahamu maana ya neno Kaunti ambalo linatumika sana nchini kenya mnijuzi tafadhal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye kufahamu maana ya neno Kauntiambalo linatumika sana nchini kenya mnijuzi tafadhal
Kaunti siyo countysometimes unasearch unapata bila kusumbua!
county
ˈkaʊnti/
noun
noun: county; plural noun: counties
a territorial division of some countries, forming the chief unit of local administration.
ni km halmashauriWenye kufahamu maana ya neno Kaunti ambalo linatumika sana nchini kenya mnijuzi tafadhal
Kaunti is a swahili version of writing county as long as unaongea in the Kenyan context.Kaunti siyo county
Ni jimbo mkuu
Nimejaribu nami kuelewa hizi kaunti zinatofautianaje na mikoa, province etc. see link belowWenye kufahamu maana ya neno Kaunti ambalo linatumika sana nchini kenya mnijuzi tafadhal
Sio Jimbo, jimbo ni Province na ni kubwa kuliko hiyo County
Province ni neno lililozoeleka hasa huku kwetu tanzania mkuu, county nayo inawakilisha jimbo kwa wenzetu wa Kenya na ndio maana kuna wabunge wa hizo county kama walivyo wabunge wa majimbo kwa upande wa tanzania, ni kitu kilekile, sema wao wakenya wamezoea kutumia county kuliko province
Si vile, Kaunti ndiyo namna ya Kikenya ya kuandika "county". (linganisha katiba na sheria za Kenya)Kaunti siyo county
ni wilaya mkuuWenye kufahamu maana ya neno Kaunti ambalo linatumika sana nchini kenya mnijuzi tafadhal
sory mkuuWenye kufahamu maana ya neno Kaunti ambalo linatumika sana nchini kenya mnijuzi tafadhal
Si vile mkuu. Kenya ilikuwa na mikoa 8 na mwishoni na wilaya 254. Sasa ni kaunti 47. Hata kama ni kweli ya kwamba mara nyingi wilaya zilibadilishwa tu kuwa kaunti madaraka ni tofauti sana.ni wilaya mkuu
Hueleweki. Kata na wilaya ni mambo mawili tofauti.sory mkuu
county ni kata
counties ni wilaya
kashafundishwa hivyo mchikichini so akili imedumaa itachukua karne 3 kuja kukuelewaProvince ni neno lililozoeleka hasa huku kwetu tanzania mkuu, county nayo inawakilisha jimbo kwa wenzetu wa Kenya na ndio maana kuna wabunge wa hizo county kama walivyo wabunge wa majimbo kwa upande wa tanzania, ni kitu kilekile, sema wao wakenya wamezoea kutumia county kuliko province
no ni tofaut labda kama dictionary yangu imeenidanganyaHueleweki. Kata na wilaya ni mambo mawili tofauti.
"Counties" ni uwingi tu wa neno "county", kitu kilekile.
Kiongozi "retired" hajakosea .... maneno yote yana maana sawa .... wewe umeliandika kwa KISWAHILI na "retired" kaliandika kwa LUGHA YA MALKIAKaunti siyo county