Maana ya neno Konkie (conkie)

Maana ya neno Konkie (conkie)

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
Wakuu..
Baada ya mapambano ya maneno wiki iliyopita kuna upande mmoja dudubaya a.k.a Konkie anawatuhumu watu flani kuwa na mashoga na ukaibuka upande mwingine pia ukimtuhumu dudubaya kuwa ni shoga pia.
Sababu sisi ni great thinkers, tukafanya Utafiti wa jina lake la utani ambalo ni Konkie... Ukiangalia kwenye dictionary ya kingereza linaandikwa "conkie" lakini sounding ya jina lake kwa Kiswahili na kingereza ni moja.
Kifupi maana ya neno Konkie kwenye dictionary ya kingereza inasadifu" tuhuma zote ambazo dudubaya anatuhumiwa kwenye ishu nzima ya ushoga.
Inawezekana kabisa dudubaya alitumia jina Konkie miaka hiyo kama nickname basing on attitude and behavior Zake (tabia na mienendo yake) kwa wakati huo.
Na naamini kabisa dudubaya anajua maana ya neno Konkie ndo mana anajiita mpaka Leo...
Nitarudi.
IMG-20181105-WA0045.jpeg
 
ile ni konkie konkie master hebu rejea kwenye kamusi utupe sadifu kamili
 
Konki ni lugha ya mtaani ambayo hupendwa kutumiwa na masela

Mfano chalii akiniuliza oya mwana hii t shirt vipi unaionaje mimi nitamjibu ipo konki ..au picha mtu kapiga utasikia aah mwanangu ipo konki sana
 
Hasa mbona unachoeleza na kilichotafsiriwa haponi tofauti

Konki Konki Konki Oil chafu
 
"Doing from behind" haina maana kutafuna uwemba we kijana...

Inawezekana kabisa dudubaya alitumia jina Konkie miaka hiyo kama nickname basing on attitude and behavior Zake (tabia na mienendo yake) kwa wakati huo.
Na naamini kabisa dudubaya anajua maana ya neno Konkie ndo mana anajiita mpaka Leo...
Nitarudi. View attachment 922312
 
Huku mtaani neno konki maana yake ni aliyeshindikana, yaani katika uhuni yeye ndo masta. Kwa mfano kama bangi anatoa tom kama yupo jamaika na pushabu anaungia mboga...huyo sasa ni konki wa bangi
 
Mashoga munaangaika sana na dudu baya.
Wakuu..
Baada ya mapambano ya maneno wiki iliyopita kuna upande mmoja dudubaya a.k.a Konkie anawatuhumu watu flani kuwa na mashoga na ukaibuka upande mwingine pia ukimtuhumu dudubaya kuwa ni shoga pia.
Sababu sisi ni great thinkers, tukafanya Utafiti wa jina lake la utani ambalo ni Konkie... Ukiangalia kwenye dictionary ya kingereza linaandikwa "conkie" lakini sounding ya jina lake kwa Kiswahili na kingereza ni moja.
Kifupi maana ya neno Konkie kwenye dictionary ya kingereza inasadifu" tuhuma zote ambazo dudubaya anatuhumiwa kwenye ishu nzima ya ushoga.
Inawezekana kabisa dudubaya alitumia jina Konkie miaka hiyo kama nickname basing on attitude and behavior Zake (tabia na mienendo yake) kwa wakati huo.
Na naamini kabisa dudubaya anajua maana ya neno Konkie ndo mana anajiita mpaka Leo...
Nitarudi. View attachment 922312
 
Hujui kitu nyamaza. Naona mashoga mnamsakama sasa dudu. Amesema mkapime mkikutwa na marinda yeye yupo tayari kufungwa

"Konkiii" huku unabana pua
 
Back
Top Bottom