Maana ya neno Konkie (conkie)

Hiyo Conkie anayotumia master ni Concord yaan aliyebobea katika jambo flani
 
Nashangaa sana watu wanaoita wenzao humu mashoga kwa mihemuko , hv wazee mnachukulia hilo neno/tusi dogo sana eee?
Ushoga ni moja ya dhambi za mwisho kbsa na zilizolaaniwa, mm hata kumtamkia mtu ki utani naona namkosea sana, lakn asaiv limekua kama msamiati humu,
Tuache izi mambo wakuu, m hakuna aliyeniita ila sipendezwi na wanaoitwa hivyo, kitendo na jina vyote ni vichafu, Kwa nini umbatize mwenzio zambi kubwa hvyo tena bila hata uhakika?, Tutembee na hoja tutaelewana tu wazee, ila kama na wewe unaeitwa n kweli basi niwakujionea huruma mwenyewe
 
Aiseeh!! Hivi mlango wa kutokea humu ndani upo wapi?
 
Hiyo maana ya pili ni chuma mboga, sio kumuingilia mtu kinyume na maumbile.
 
Tungekua tunabishania kwa hela ningeonyesha matundu ya nadharia yako ila kwakua unajifurahisha ngoja nikuache tu
 
Unachotafsiri ww ni tofauti,ilo si neno la kiingereza,ni Kiswahili.. konkii... konkii.. konkii master..oil chafu..mamba
 
Konkiiii ametake headline sana.....ameshika watu pabaya....Mashoga wanayumba sana....inabd tumuongezee ulinzi konki mana list bado inakuja....Konki, konkiii a.k.a Mamba Oil chafu
 
WACHA UMAZWAZWA KONKI NI KIFUPISHO CHA CONCORD!! WAHUNI WANAFUPISHA NA KUSEMA CONC
 
concord -(conc/konki)

concentrated- (conco/konko/konki)

usitake kuyumbisha maana ya konkii masters kwa kutetea ujinga.....

ushoga haukubaliki na wanaotetea ushoga pia hawakubaliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…