Maana ya neno Konkie (conkie)

Maana ya neno Konkie (conkie)

Wakuu..
Baada ya mapambano ya maneno wiki iliyopita kuna upande mmoja dudubaya a.k.a Konkie anawatuhumu watu flani kuwa na mashoga na ukaibuka upande mwingine pia ukimtuhumu dudubaya kuwa ni shoga pia.
Sababu sisi ni great thinkers, tukafanya Utafiti wa jina lake la utani ambalo ni Konkie... Ukiangalia kwenye dictionary ya kingereza linaandikwa "conkie" lakini sounding ya jina lake kwa Kiswahili na kingereza ni moja.
Kifupi maana ya neno Konkie kwenye dictionary ya kingereza inasadifu" tuhuma zote ambazo dudubaya anatuhumiwa kwenye ishu nzima ya ushoga.
Inawezekana kabisa dudubaya alitumia jina Konkie miaka hiyo kama nickname basing on attitude and behavior Zake (tabia na mienendo yake) kwa wakati huo.
Na naamini kabisa dudubaya anajua maana ya neno Konkie ndo mana anajiita mpaka Leo...
Nitarudi. View attachment 922312
Hiyo Conkie anayotumia master ni Concord yaan aliyebobea katika jambo flani
 
Nashangaa sana watu wanaoita wenzao humu mashoga kwa mihemuko , hv wazee mnachukulia hilo neno/tusi dogo sana eee?
Ushoga ni moja ya dhambi za mwisho kbsa na zilizolaaniwa, mm hata kumtamkia mtu ki utani naona namkosea sana, lakn asaiv limekua kama msamiati humu,
Tuache izi mambo wakuu, m hakuna aliyeniita ila sipendezwi na wanaoitwa hivyo, kitendo na jina vyote ni vichafu, Kwa nini umbatize mwenzio zambi kubwa hvyo tena bila hata uhakika?, Tutembee na hoja tutaelewana tu wazee, ila kama na wewe unaeitwa n kweli basi niwakujionea huruma mwenyewe
 
Aiseeh!! Hivi mlango wa kutokea humu ndani upo wapi?
 
Hiyo maana ya pili ni chuma mboga, sio kumuingilia mtu kinyume na maumbile.
 
Tungekua tunabishania kwa hela ningeonyesha matundu ya nadharia yako ila kwakua unajifurahisha ngoja nikuache tu
 
Unachotafsiri ww ni tofauti,ilo si neno la kiingereza,ni Kiswahili.. konkii... konkii.. konkii master..oil chafu..mamba
 
Konkiiii ametake headline sana.....ameshika watu pabaya....Mashoga wanayumba sana....inabd tumuongezee ulinzi konki mana list bado inakuja....Konki, konkiii a.k.a Mamba Oil chafu
 
WACHA UMAZWAZWA KONKI NI KIFUPISHO CHA CONCORD!! WAHUNI WANAFUPISHA NA KUSEMA CONC
 
From behind doesn't mean on A$$.. Ni kama tu doggy style..

Mnamtafuta sana Konki lakini bado hamjampata..
Hapa je?
IMG-20181105-WA0052.jpeg
 
concord -(conc/konki)

concentrated- (conco/konko/konki)

usitake kuyumbisha maana ya konkii masters kwa kutetea ujinga.....

ushoga haukubaliki na wanaotetea ushoga pia hawakubaliki
 
Back
Top Bottom