Maana Ya Neno Ugatuzi!

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,339
Nimesikia sana neno hili likitumika sana kenya! kenyatta nilimsikia... pia leo raila nimemsikia

Nini maana yake!
 
Ugatuzi (Devolution) ni mfumo wa serikali ambao karibu ufanane na Majimbo (federalism) Lakini hauna uhuru kama ule wa Majimbo. Kenya ina serkali mbili: National Government (Iliyo Nairobi na inaongozwa na Rais na Naibu wake,) Na Bunge Lake na Seneti. Pia Kuna County Government Inayoongozwa na Gavana na Naibu wake, na Bunge Lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…