Ugatuzi (Devolution) ni mfumo wa serikali ambao karibu ufanane na Majimbo (federalism) Lakini hauna uhuru kama ule wa Majimbo. Kenya ina serkali mbili: National Government (Iliyo Nairobi na inaongozwa na Rais na Naibu wake,) Na Bunge Lake na Seneti. Pia Kuna County Government Inayoongozwa na Gavana na Naibu wake, na Bunge Lake.