Maana ya neno ushoroba

Maana ya neno ushoroba

BatteryLow

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
446
Reaction score
149
Naombeni kueleweshwa maana ya hili neno, nilisikia likitumiwa redioni "nchi za ushoroba wa Kaskazini".
 
Neno ushoroba Lina maana mbili
1. njia nyembamba baina ya kitu na kitu au nyumba na nyumba.
2. sehemu nyembamba katika nyumba baina ya vyumba vinavyotazamana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom