T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 5,606 Reaction score 7,032 Aug 20, 2013 #1 Tafadhali naomba wajuzi wa lugha yetu adhimu ya Kiswahili, wanipe maana za maneno haya ya Kiswahili, ikiambatana na mifano. 1. Utani 2. Mizaha 3. Masihara
Tafadhali naomba wajuzi wa lugha yetu adhimu ya Kiswahili, wanipe maana za maneno haya ya Kiswahili, ikiambatana na mifano. 1. Utani 2. Mizaha 3. Masihara