Kuna thread humu ndani nadhani Ina post zaidi ya 500......search utapata maana ya majina ya members wengi.........
Kuna thread humu ndani nadhani Ina post zaidi ya 500......search utapata maana ya majina ya members wengi.........
Ungetusaidia utuwekee link. Preta means black.
Eu tem uma cabella preta e encarculada
Habari zenu wana JF
Ninavyojua mimi kila jina la mtu lazima liwe na maana yake so sioni ubaya kama tutatoa maana ya majina yetu tunayotumia humu; tukianza na langu
Natj maana yake ni AMANI + UPENDO.
Wewe je?
-Kongosho
-watu8
-Passionlady
-ArushaOne
-Cap Tamar
-mzee wa rula
-Nawengineo hebu toeni maana ya majina yenu
Jina langu nimelipataje SIJUI,
Lina maana gani hili jina SIJUI,
Kwa nini natumia jina hili SIJUI,
Wadau jamvini wanalionaje SIJUI,
Avatar yangu inamaanishaje SIJUI,
Je nisaidiwe maana ya jina hili SIJUI,
Sasa kwa nini naitwa Rock City SIJUI,
Nasema mimi SIJUI,
Namalizia kwa kauli ya SIJUI.
Rock City
Jina langu maana ake mvuka maji ya shngo bila mgongo kuloa
Mkuu una haja gani kumung'unya maneno?
"eti bila mgongo kuloa!"
si uchane tu? "bila kengele mbili kulowa"?