Maana za maana

Maana za maana

fiviki

Member
Joined
May 25, 2014
Posts
16
Reaction score
0
Habari wana JF, Leo naomba niongelee maana za maana ktk lugha , Ktk lugha kuna aina mbalimballi za maana. Na aina hizo ni kama vile 1) Maana ya MSINGI 2)Maana ya KISARUFI 3)Maana ya ZIADA 4)Maana USICHI na 5)Maana ELEKEZE
Tunapoongea mara zote lzm tutagusa maana moja wpo ya hizi ,Cha kushangaza cku hizi kila unapoongea kitu watu moja kwa moja wanapeleka kwenye maana ya ZIADA, Ina maana maneno yote cku hizi yapo ktk maana ya ziada tu au watu hawajui kuutumia maaana za maneno????????????
 
Bado hujatoa maana (z)ya maana. Ila umeeleza namna tunavyoweza kupata maana.
 
Habari wana JF, Leo naomba niongelee maana za maana ktk lugha , Ktk lugha kuna aina mbalimballi za maana. Na aina hizo ni kama vile 1) Maana ya MSINGI 2)Maana ya KISARUFI 3)Maana ya ZIADA 4)Maana USICHI na 5)Maana ELEKEZE
Tunapoongea mara zote lzm tutagusa maana moja wpo ya hizi ,Cha kushangaza cku hizi kila unapoongea kitu watu moja kwa moja wanapeleka kwenye maana ya ZIADA, Ina maana maneno yote cku hizi yapo ktk maana ya ziada tu au watu hawajui kuutumia maaana za maneno????????????

Maana yake ni nini?
 
Back
Top Bottom