kwenye blue kunaonyesha jinsi unavyomboa mumeo mpaka anaamua kwenda kupumzisha mawazo baada ya hiyo kazi yenu hapo kwenye red
Jaribu kuwa na maneno ya busara kidogo. Hiyo message tu unapumbambika kiasi hiki je ungewakuta live ungefanyaje?
Ningependa sana kupata mtu kama wewe.......he he he....wewe ukikuta msg kama hiyo hutaielewa? au hata kama hujui kusoma picha hutaielewa? mimi simu yangu hashiki mtu wallah nakwambia
Hata kama mimi ningekuwa mme wako, ninge-cheat!.:rolleyez:
kwenye blue kunaonyesha jinsi unavyomboa mumeo mpaka anaamua kwenda kupumzisha mawazo baada ya hiyo kazi yenu hapo kwenye red
Jaribu kuwa na maneno ya busara kidogo. Hiyo message tu unapumbambika kiasi hiki je ungewakuta live ungefanyaje?
Asante dear, maana nilifikiria hivyo pia. Tena basi kinachonifurahisha ni kuwa baada ya kumjibu yangu (kuwa asiwe na wasiwasi msg nimeiona na waeendelee tuu na mambo yao mimi sina noma yoyote...) acha mwan´dada anikurupukie na maneno, ooh, msg ilikuwa inaenda kwengine sio kwa mme wangu, mara sijui mme wangu sio type yake, yeye ni mtu high class, nikitaka kumjua vizuri niulize watu, mara angelikuwa anamtaka nisingekuwa nimekanyaga ulaya...too much rubbish. Nilichomwambia ni Thanks for the information tuu. Nikweli mme wangu anajigonga sana kwa huyu mama (maana ni mzee kweli tumepishana kama 15 years) ili nimuone mkali, siunaelewa tena. Anyway thanks for the advice.
Achana na simu yake....
kwenye blue kunaonyesha jinsi unavyomboa mumeo mpaka anaamua kwenda kupumzisha mawazo baada ya hiyo kazi yenu hapo kwenye red
Jaribu kuwa na maneno ya busara kidogo. Hiyo message tu unapumbambika kiasi hiki je ungewakuta live ungefanyaje?
kwenye blue kunaonyesha jinsi unavyomboa mumeo mpaka anaamua kwenda kupumzisha mawazo baada ya hiyo kazi yenu hapo kwenye red
Jaribu kuwa na maneno ya busara kidogo. Hiyo message tu unapumbambika kiasi hiki je ungewakuta live ungefanyaje?
Wakati unaoana naye hukujua kama ni ''mzee''? Au ndiyo ulikubali kuolewa ili uende Ulaya? Nina maswali mengi kuliko majibu. Yaelekea huko Ulaya ukipata ''kijana'' mwenzio huchelewi kummwanga ''mzee'' wa watu.
Mwenzangu, nilidhani wazee wametulia kumbe ndo kwanza...inabidi kwa kweli nitafute kijana kwa sasa twendenae sambamba. lol!
Mwenzangu, nilidhani wazee wametulia kumbe ndo kwanza...inabidi kwa kweli nitafute kijana kwa sasa twendenae sambamba. lol!
Jaribu kuwa mvumilivu na umuombe Mungu sana ndio msimamizi wa ndoa, usibabaike na huyo mama mumeo ni mumeo tu ndiyo mana kakuona na kukuweka ndani, so do not worry!kwenye blue kunaonyesha jinsi unavyomboa mumeo mpaka anaamua kwenda kupumzisha mawazo baada ya hiyo kazi yenu hapo kwenye red
Jaribu kuwa na maneno ya busara kidogo. Hiyo message tu unapumbambika kiasi hiki je ungewakuta live ungefanyaje?
hiyo ni msg imetumwa nite kali (na mume) kwa mtu then mtu akarudisha majibu hayo ikiwa na maana kuwa mchana mzima alimchunia bila kumtumia msg ndio kamtumia msg usiku huo...pole lakini ukweli ndio huo japo unauma....usipende kusoma msg za mwenzio utakufa siku si zako
Mh Preta una maneno utafikiri konda wa daladala!! Umenifurahisha sana mydiawasikutishe...hizo ni kelele za chura hana lolote....ukiona mtu anakujibu majibu mengi kwa swali ambalo hujamuuliza ujue kaangukia pua hana chochote