CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Dear daughters;
charminglady na beibe nasty najua tumefika hatua nzuri ila nawaomba tuweni na subira na tusibweteke. Tuendelee kusaka kura hadi dakika ya mwisho.
mimi nipo tayari. Nipen location ya kula bata cku hyo. Je ni JB BELMONT? La kairo? Tilapia? Villa Park? Rocky beach? Charcoal ribs?
Wew ndo mc kwanza kaa ukijua si eti dadii?? Halaf nahis villa ndo penyewee
Si tunaanzia mkesha live band palee
Beibe villa changanyikeni... Km vp tutaenda chimbo la ukweeeee.... ntakuPM
kumbe charmagirl tuko wote hapa jiji la miamba, nafollow kimyakimya mpaka siku ya mkesha nijue nawakuta wapi...kila la kheri charmagirl and the family
what a family yaani nimefurahije
ahsanteni sana sana.
Am humbled
usijali mpenzi karibu sana kwa familia....
sawa dada nimekuelewa ahsante sana kwani dada una watoto wangapi????ili nami nijue niongeze wangapi?
Morning dadii ndo naamka now my dadii
Sasa dad huyu atakua our step mom????
Sasa dad huyu atakua our step mom????
unauliza kama Jk ni ccm?
Haaa Baba V jaman kwan sa si alituambia anataka kuwa cusine sister ndo maana mara anataka kua step momunauliza kama Jk ni ccm?