maandaliz kabambe ya ushindi wa Charming lady


charminglady, Dah! Mi niko Rocky city siku hiyo sijui nitokeje kwa furaha! ukumbi?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha dad yan uncle kwisha habari yake kweli mama V atakua kamchosha saana eti mjomba Baba V utakuwepo katika sherehe ya niece wako cl

hahaha naona unatafuta kuzabuliwa....si unajua yupo upande gani huyo!

nipo safarini hapa basi network kimeo kweli...
 
hahaha haya daughter....
daughter, karibu Maembe ng'ong'o mie ndio nshafika huku mapenzi yalipozaliwa, Tanga tanga....

Woooh thanks Daddy...... Upo kwenye msafara ama uko home???
 
hahaha haya daughter....
daughter, karibu Maembe ng'ong'o mie ndio nshafika huku mapenzi yalipozaliwa, Tanga tanga....

nawaonea wivu na stress nliyonayo bora ningekuja kujumuika maana leo imeisha sijafanya kitu.nauhakika mpaka j3 sijafanya kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…