Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viwanja vyote ni mali ya serikali wasitake kutuambia kabla ya uhuru Tanzania ilikuwa na kiwanja cha Ilala na cha (Taifa)Uhuru, CCM wanatabia ya uporaji ndicho walichotufanyia Tanzania kuiba viwanja vya michezo.Nashauri kiwanja hiki kitwaliwe na serikali, CCM wafidiwe, halafu kijengwe kiwanja cha kisasa pale.
Hii itaendana na hadhi ya jiji la Mwanza.
Kwa.sasa kiwanja hiki hata CCM hakiwapi faida yoyote ile
Hicjo ni kiwanja cha CCM kirumba, huelewi nini?Viwanja vyote ni mali ya serikali wasitake kutuambia kabla ya uhuru Tanzania ilikuwa na kiwanja cha Ilala na cha (Taifa)Uhuru, CCM wanatabia ya uporaji ndicho walichotufanyia Tanzania kuiba viwanja vya michezo.
Ni lini ccm walijenga viwanja. Chama cha majiziBora kijengwe kiwanja kipya kabsaa from the scratch......hii ya mali ya mtuu kubadilishwa jina si afiki kabsaaa
Kipi kilianza Serikali au Ccm?Jidanganye
CCM walijimilikisha mali za serikali baada ya vyama vingi kuanzia. Siku wakitoka, watanyang'anywa vitu vingi sana. Mpaka Chimwaga.Kirumba ni uwanja wa umma si wa ccm
Ikikodi kwa muda maalumu kuna ubaya?,wakakijengaNashauri kiwanja hiki kitwaliwe na serikali, CCM wafidiwe, halafu kijengwe kiwanja cha kisasa pale.
Hii itaendana na hadhi ya jiji la Mwanza.
Kwa.sasa kiwanja hiki hata CCM hakiwapi faida yoyote ile.
Nani kasema? Unaitwa CCM Kirumba stadium.Kirumba ni uwanja wa umma si wa ccm
Kwani huo uwanja ni WA ccm?Nashauri kiwanja hiki kitwaliwe na serikali, CCM wafidiwe, halafu kijengwe kiwanja cha kisasa pale.
Hii itaendana na hadhi ya jiji la Mwanza.
Kwa.sasa kiwanja hiki hata CCM hakiwapi faida yoyote ile.
CCM haijawahi kujenga kiwanja hata kimoja, viwanja vilijengwa na serikali ikishirikiana na wananchi ambao hawakua mali ya CCM. Tulipoingia mfumo wa vyama vingi CCM ilichokifanya ni chukua chako mapema ndipo ilichukua viwanja vyote mikoani pamoja na ndege ya rais iliyosajiriwa kwa CCM 1, hata hivyo walishindwa kulipa gharama za marubani na maegesho ya kila siku wakalazimika kuirudisha serikalini.Hicjo ni kiwanja cha CCM kirumba, huelewi nini?
Narudia tena, hati ya kiwanja inasomeka CCMCCM haijawahi kujenga kiwanja hata kimoja, viwanja vilijengwa na serikali ikishirikiana na wananchi ambao hawakua mali ya CCM. Tulipoingia mfumo wa vyama vingi CCM ilichokifanya ni chukua chako mapema ndipo ilichukua viwanja vyote mikoani pamoja na ndege ya rais iliyosajiriwa kwa CCM 1, hata hivyo walishindwa kulipa gharama za marubani na maegesho ya kila siku wakalazimika kuirudisha serikalini.