Maandalizi ya AFCON: serikali iwafidie CCM, ikichukue kiwanja cha CCM kirumba, ikijenge kwa viwango vya kisasa, kitumike kwa mashindano

Maandalizi ya AFCON: serikali iwafidie CCM, ikichukue kiwanja cha CCM kirumba, ikijenge kwa viwango vya kisasa, kitumike kwa mashindano

Kwani Mwanza lini imechaguliwa kama "host city"?
Hakuna mji wowote ambao CAF wameupendekeza kuwa host city! wao wamesema ni Kenya,Uganda na Tanzania.

Mda wa kupendekeza viwanja na kuanza kuvikagua bado isipokuwa walifanya ukaguzi wa awali pale kwa Mkapa na Amani! hata hiyo Amani haina vigezo kwa zile nyasi walizoweka labda wazitoe.

Uganda imepitishwa bila ukaguzi wa kiwanja chochote kwakuwa Nakivubo na Namboole vipo kwenye Renovation.
 
Nashauri kiwanja hiki kitwaliwe na serikali, CCM wafidiwe, halafu kijengwe kiwanja cha kisasa pale.

Hii itaendana na hadhi ya jiji la Mwanza.

Kwa.sasa kiwanja hiki hata CCM hakiwapi faida yoyote ile.
Gharama za fidia ziwe hatua Kwa hatua
 
Back
Top Bottom