Hakuna mji wowote ambao CAF wameupendekeza kuwa host city! wao wamesema ni Kenya,Uganda na Tanzania.
Mda wa kupendekeza viwanja na kuanza kuvikagua bado isipokuwa walifanya ukaguzi wa awali pale kwa Mkapa na Amani! hata hiyo Amani haina vigezo kwa zile nyasi walizoweka labda wazitoe.
Uganda imepitishwa bila ukaguzi wa kiwanja chochote kwakuwa Nakivubo na Namboole vipo kwenye Renovation.