Maandalizi ya bao 1

Bado ghali
Balimi 2 3000/=
Maji 1 500/=
Chips yai 2000/=
Mishkaki 2 1000/=
Pepsi 1 500/=
Condom 500/=
Room 10000/=
Bodaboda 2000/=
Jumla: 19,500/=
Nachukua point zangu tatu tunatawanyika.
Hahhahha...

Bruno mars umetisha..
 
Hatulingani.

1. Konyagi inatosha ya 6000
2. Maji makubwa ni 1000
3. Kuku ni 12000
4. Bajaji 10000
5. Room 10000
6. Kifuta jasho 10000
7. Kondom 2000
Jumla 51000
Still ni bei kubwa wakti Malaya unapata kwa buku 3
 
No comment nimeamka na stress ming sana wife ananiamsha najua labda ameshinda biko au tatu mzuka
Eti oooh gas imeisha na ukiangalia mfukoni Nina 7200
Nataman niende hata kazin nikapitezee huko muda japo nipo likizo
Na nyinyi tena mnaniletea story ya bao moja Mara na huyu sijui anataja kunvunja miguu mkewee aaarh
 
Ninasubili upande wa pili waje wale wa laki si pesa ni kweli wameshuka kufikia 30000 - 5000 wakija unitagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…