mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
Hesabu yako jumla ni 81000 ndo maana kuna mijitu inafilisiwaga na wanawake kwsbb hajui mahesabu kama weweBalimi 2 3000/=
Maji 1 500/=
Chips yai 2000/=
Mishkaki 2 1000/=
Pepsi 1 500/=
Condom 500/=
Room 10000/=
Bodaboda 2000/=
Jumla: 19,500/=
Nachukua point zangu tatu tunatawanyika.