King Mutesa
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 227
- 141
Wanajamii habari zenu..!
Mi nimechaguliwa chuo cha DUCE.!
Sasa nahitaji kufahamu natakiwa niwe na kiasi gani wakati nikisubiri uelekeo wa HESLB..!!
NB:-Mbali ya School fees,na Registration feez.!