Maandalizi ya Chuo..!

Maandalizi ya Chuo..!

King Mutesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
227
Reaction score
141
Wanajamii habari zenu..!
Mi nimechaguliwa chuo cha DUCE.!
Sasa nahitaji kufahamu natakiwa niwe na kiasi gani wakati nikisubiri uelekeo wa HESLB..!!

NB:-Mbali ya School fees,na Registration feez.!
 
kama 200,000 huo ni mtazamo wangu sio wote wanaenda chuo na kias hicho maisha tumetofautiana.
 
Mkuu hizo 200000 niza accomodation na meals basi au kuna mengine?
 
Back
Top Bottom