King Mutesa JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 227 Reaction score 141 Sep 9, 2012 #1 Wanajamii habari zenu..! Mi nimechaguliwa chuo cha DUCE.! Sasa nahitaji kufahamu natakiwa niwe na kiasi gani wakati nikisubiri uelekeo wa HESLB..!! NB:-Mbali ya School fees,na Registration feez.!
Wanajamii habari zenu..! Mi nimechaguliwa chuo cha DUCE.! Sasa nahitaji kufahamu natakiwa niwe na kiasi gani wakati nikisubiri uelekeo wa HESLB..!! NB:-Mbali ya School fees,na Registration feez.!
Triple G JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 3,018 Reaction score 4,369 Sep 9, 2012 #2 kama 200,000 huo ni mtazamo wangu sio wote wanaenda chuo na kias hicho maisha tumetofautiana.
Jemsi Senior Member Joined Mar 22, 2012 Posts 149 Reaction score 19 Sep 9, 2012 #3 Mkuu hizo 200000 niza accomodation na meals basi au kuna mengine?
King Mutesa JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 227 Reaction score 141 Sep 9, 2012 Thread starter #4 Triple G said: kama 200,000 huo ni mtazamo wangu sio wote wanaenda chuo na kias hicho maisha tumetofautiana. Click to expand... Mbona kama haitoshi..!
Triple G said: kama 200,000 huo ni mtazamo wangu sio wote wanaenda chuo na kias hicho maisha tumetofautiana. Click to expand... Mbona kama haitoshi..!