Maandalizi ya Kesi ya Wazalendo dhidi ya Mkataba wa Bandari na DP WORLD yakamilika, Maelfu ya Wananchi wajipanga kuhudhuria

Maandalizi ya Kesi ya Wazalendo dhidi ya Mkataba wa Bandari na DP WORLD yakamilika, Maelfu ya Wananchi wajipanga kuhudhuria

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ile kesi inayosubiriwa kwa hamu na Dunia nzima, ambayo imefunguliwa na Watanzania Wazalendo , ya kupinga Mkataba mbovu wa kukodisha Bandari za Tanganyika kwa Waarabu wa DP WORLD , ambayo imepangwa kuanza kusikilizwa kesho 20/07/2023 , Maandalizi yake yamekamilika .

Wananchi wa Tanganyika na hasa wakazi wa Jiji la Mbeya na vitongoji vyake wamejitokeza kwa wingi kujiandaa na misafara ya kuelekea Mahakamani , kama mambo yataenda sawa Kyela zitatoka Gari 4 aina ya Coaster , moja itatoka Katumbasongwe , moja itaanzia Boda , Moja itaanzia matema na nyingine itaanzia Kyela Mjini Stendi .

FB_IMG_1689766007922.jpg
 
Ile kesi inayosubiriwa kwa hamu na Dunia nzima , ambayo imefunguliwa na Watanzania Wazalendo , ya kupinga Mkataba mbovu wa kukodisha Bandari za Tanganyika kwa Waarabu wa DP WORLD , ambayo imepangwa kuanza kusikilizwa kesho 20/07/2023 , Maandalizi yake yamekamilika...
Kwa nini kuwe na gari za kokodisha?Na ni nani yupo nyuma ya gharama za kokodi hizo gari?Tafakari uchukuwe hatua.
 
Huyu mama katukaba sana, sijuwi huko tutaweza kumfunguwa mdomo?

Au Tundu Lussu katuingiza mkenge mwenyewe kasepa.
 
Back
Top Bottom