Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ile kesi inayosubiriwa kwa hamu na Dunia nzima, ambayo imefunguliwa na Watanzania Wazalendo , ya kupinga Mkataba mbovu wa kukodisha Bandari za Tanganyika kwa Waarabu wa DP WORLD , ambayo imepangwa kuanza kusikilizwa kesho 20/07/2023 , Maandalizi yake yamekamilika .
Wananchi wa Tanganyika na hasa wakazi wa Jiji la Mbeya na vitongoji vyake wamejitokeza kwa wingi kujiandaa na misafara ya kuelekea Mahakamani , kama mambo yataenda sawa Kyela zitatoka Gari 4 aina ya Coaster , moja itatoka Katumbasongwe , moja itaanzia Boda , Moja itaanzia matema na nyingine itaanzia Kyela Mjini Stendi .