Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
karibuHaya
YupoMwabukusi vipi;?
Maji ya Washawasha yatakuwepo?😄karibu
Safi sana. Nimegundua bongo watu majasiri ni wanasheria. Big up to Lissu,Nshala, Mwabukusi,Madeleka Mungu awalinde popote mlipo Awalinde dhidi ya mikono ya wakandamizajiYupo
Mimi nimekuja MBEYa sshv nipo vamponji bar kila asubuhi nitakuwa nakwenda kusikiliza kesiNafuatilia Kwa makini sana kesi hii.
Kwa nini kuwe na gari za kokodisha?Na ni nani yupo nyuma ya gharama za kokodi hizo gari?Tafakari uchukuwe hatua.Ile kesi inayosubiriwa kwa hamu na Dunia nzima , ambayo imefunguliwa na Watanzania Wazalendo , ya kupinga Mkataba mbovu wa kukodisha Bandari za Tanganyika kwa Waarabu wa DP WORLD , ambayo imepangwa kuanza kusikilizwa kesho 20/07/2023 , Maandalizi yake yamekamilika...
Mzee mgaya anasemaje , inasemeka Watanganyika wamekula pilipili tangu wakiwa wadogo na kwa sasa maji ya washawasha ni kama nikama maji ya kawaida kwao,mwafaaMaji ya Washawasha yatakuwepo?😄
Hongera.Mimi nimekuja MBEYa sshv nipo vamponji bar kila asubuhi nitakuwa nakwenda kusikiliza kesi
Asante sanaHongera.
UBARIKIWE!!!
Kwa kisa gani ?Maji ya Washawasha yatakuwepo?[emoji1]
Andika vizuri jina la mwamba eboo!Huyu mama katukaba sana, sijuwi huko tutaweza kumfunguwa mdomo?
Au Tundu Lussu katuingiza mkenge mwenyewe kasepa.
Ni gari za abiria tu ambazo sisi wananchi tunachangia nauliKwa nini kuwe na gari za kokodisha?Na ni nani yupo nyuma ya gharama za kokodi hizo gari?Tafakari uchukuwe hatua.
Lisu anatisha kama Osama 😂😂Andika vizuri jina la mwamba eboo!
Siyo kama OsamaLisu anatisha kama Osama [emoji23][emoji23]