Maandalizi ya Kesi ya Wazalendo dhidi ya Mkataba wa Bandari na DP WORLD yakamilika, Maelfu ya Wananchi wajipanga kuhudhuria

Uzalendo wao unapimikaje
 
Siku moja wengi wataning'iniza vichwa vyao kwa aibu watakapogundua uovu walioutetea na mashujaa waliowakejeli.Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasiwasi wangu, CCM watawapigia majaji simu na kuwapa maelekezo. Wazalendo watabambikiwa kesi na akina Kingai, Takukuru TRA nao wanasubiri maelekezo. Under CCM Kiza bado ni kirefu.
 
Wasiwasi wangu, CCM watawapigia majaji simu na kuwapa maelekezo. Wazalendo watabambikiwa kesi na akina Kingai, Takukuru TRA nao wanasubiri maelekezo. Under CCM Kiza bado ni kirefu.
Siku moja wengi wataning'iniza vichwa vyao kwa aibu watakapogundua uovu walioutetea na mashujaa waliowakejeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimekuja MBEYa sshv nipo vamponji bar kila asubuhi nitakuwa nakwenda kusikiliza kesi
Oh kesho nitakuwa hapo Ilomba, nikipata muda nitakuja tupate moja mbili tatu pamoja na kupeana updates mbili tatu kuhusiana na swala letu hili.
#KATAA UUZAJI WA RASILIMALI ZETU
#TANGANYIKA KWANZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…