Maandalizi ya kipigo cha goli 5 yalifanyika kwa miaka 2

Lengo la Mr Karai wa TFF kuhujumu Yanga isibebe kombe msimu huu litawatokea puani Simba, ni kipigo tu kwenda mbele mpaka msemeeeeee!

Mikakati ya Yanga ni kutawala soka la bongo kwa miaka kumi kisayansi , usajili mzuri , uongozi imara, mashabiki wenye Raha na sio kuendekeza uchawi , tambo na majivuno kama Simba!

Mpira ni mchezo wa wazi kila mtu anaona uwezo mdogo wa wachezaji wa Simba ambayo ni underdog kwasasa inayobebwa wazi wazi na marefa refer mechi ya Singapore Big Stars goli lao la halali limekataliwa mchana kweupe na mechi Ile kipigo ilikuwa haki yao! Simba inafungika kirahisi sana. Huu uonevu wa marefa kwa timu ndogo tunaukemea na kuulaani kwa nguvu zote , TFF mmeshindwa kuongoza mtokeeeee!!

Na Bado!
 
Huyo Karia aliyempa access Hersi aweze kuongea na Infantino ambembeleze muingizwe AFL leo amekuwa mbaya hivyo? Nimeona mnalalamika ratiba ya wiki hii, mbona baada ya ngao mechi yenu ya KMC iliahirishwa bila sababu za msingi wakati Simba na Azam walicheza mechi zao, tena Azam bado wakasafiri na wakacheza Ethiopia wiki hiyo hiyo? Msimu uliopita mechi ngapi ambazo marefa walikuwa na makosa ya kibinadamu yaliyokuwa yanawafeva? Msimu huu toka unaanza unadhani hatujui kuna maelekezo maalumu kuhusu Aucho na michezo yake ya rafu? Mbona hilo haulisemi?

Simba ikiachana na viongozi wa hovyo mbona inakaa sawa tu. Msimu uliopita Simba ilibeba tuzo kama zote ikiwemo kwenye kikosi bora cha msimu na hakuna aliyesema kuna ambayo haikustahili.
 
Amka kubwabwaja
Umepigwa 5 mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom