Maandalizi ya kwenda chuoni

Maandalizi ya kwenda chuoni

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Heshima kwenu wakuu

Nimechaguliwa University of Bagamoyo.

Kilicho nileta hapa ni hiki pale tuna report kuanzia tareh 6 had 15 sasa katika kulizia harakati za hostel kwa watawala wa pale wakaniambia ni laki saba kwa mwaka na ina lipwa yote wakati wa registration... sasa nimepiga hesabu nikaona bora kupanga tu kitaa naomba mni saidie yafuatayooo

»»»»»je ni bora nikae hostel ambako ni lipe laki saba kwa mwaka au bora nipange tuu kitaaa maeneo ya karibu na kawe kilipo chuo

»»»»»nan anaweza nisaidia kupata chumba cha kupanga karibu na kawe au pale kawe,kiwe na maji,umeme,mwenye nyumba asiwe ana kaaa hapo kusiwe na wazazi wenye watoto kifupi mabachelor nitafurahi ukinisaidia

»»»»»je mahitaji mengine ni kama yapi ambayo yatanisaidia kimaishaaa

»»»»»na ushauri wenu kuhusu maisha ya dar kwa ujumla unanishauri ni ishi vipi

MWISHO NAOMBA SANA MSAADA WAKO WA KUPATA CHUMBA AU HATA USHAURI WAKO UTANIFAA SANAA KAMA MNAVO JUA CHUO CHETU.

KIMEANZA 2012 so guyz karibuni katika hili
 
Panga kinondoni hiyo kawe gari moja tu. Wewe ni she au he?
 
panga karibu na chuo ili usipate ghalama zingine za kupanda panda gari. Hiyo barabara ya Mwai kibaki haifai kwa foleni. Panga Kawe maeneo ya Kwamani au Kawe karibu na kituo polisi.

Pia ungetafuta joint na wenzio wawili ili muwe watatu itakusaidieni katika kushare ghalama kibao
 
panga karibu na chuo ili usipate ghalama zingine za kupanda panda gari. Hiyo barabara ya Mwai kibaki haifai kwa foleni. Panga Kawe maeneo ya Kwamani au Kawe karibu na kituo polisi.

Pia ungetafuta joint na wenzio wawili ili muwe watatu itakusaidieni katika kushare ghalama kibao

Chuo kile naona hakifahamiki sanaaa sasa kumpata mtu naoana kama tabu hivi lakini nitajitahidi kaka...... je maeneo hayo nani anaweza nisaidia maana madalali ni wahuni kichz
 
Back
Top Bottom