cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,756
- 5,250
Tucheke nini? Kuna cha kuchekesha hapo?
Yaani wewe unakuwa busy kuchagua mavazi ufanye mtoko msibani? Na siku mzazi wako au ndugu yako akifa utakuwa busy kupanga mtoko msibani?
Itoshe kusema kama Taifa tumefika hatua mbaya Sana na akili za vijana wa sasa
Achana nae huyo mwezi mchanga huuu watatoka wengi tu mapangoni huko walikojificha