Tucheke nini? Kuna cha kuchekesha hapo?
Yaani wewe unakuwa busy kuchagua mavazi ufanye mtoko msibani? Na siku mzazi wako au ndugu yako akifa utakuwa busy kupanga mtoko msibani?
Itoshe kusema kama Taifa tumefika hatua mbaya Sana na akili za vijana wa sasa
Mijitu mingine akili kama zimwi.
Hao ndio wanaitwa vijana wa dotcom. Umewasikiaee wanadiriki kwenda kufanya show msibani!Tucheke nini? Kuna cha kuchekesha hapo?
Yaani wewe unakuwa busy kuchagua mavazi ufanye mtoko msibani? Na siku mzazi wako au ndugu yako akifa utakuwa busy kupanga mtoko msibani?
Itoshe kusema kama Taifa tumefika hatua mbaya Sana na akili za vijana wa sasa
Mimi mshenzi ila wewe ni mchawi wa fikra na limbukeni wa mawazo.Hee!wewe vipi wewe we ni mshenzi nini?
Mimi ni genius toka kuzaliwa sijawahi shindwa na mtu,weka hilo kwenye ubongo wako wenye matobo,mpuuzi nini wewe.Mimi mshenzi ila wewe ni mchawi wa fikra na limbukeni wa mawazo.
Umenunua kikadeti chako cha elfu 10 na flana ya buku 5 vinakuwasha kuvivaa hata iwe msibani.
Kwakua wewe ni msichana nakubaliana na mawazo yako.msiba hauna mtoko,msiba unauma sana
Ovyo kweli weweHuyo haponi analishwa kwa mipira na amepigwa na stroke ni mda sana toka amepelekwa KCMC, hajiwezi huyo.Thats why nimewaza hivyo.