Maandalizi ya refinery ya mafuta yaanza Chongoleani, Tanga

Liko wapi hilo soko la kutosheleza refinary 2 na pengine 3 kama na ya Uganda itakamilika, zinazozalisha mapipa 700,000 kila moja?
Utakuwa huelewi! Nchi ngapi zinatuzunguka na zinahitaji mafuta? Na kama yakiwa na bei nzuri hata nchi za Ulaya zitanunua! Ni aibu sana mtu unajiita Daktari halafu unahoji vitu vya kijinga namna hiyo!
 
Utakuwa huelewi! Nchi ngapi zinatuzunguka na zinahitaji mafuta? Na kama yakiwa na bei nzuri hata nchi za Ulaya zitanunua! Ni aibu sana mtu unajiita Daktari halafu unahoji vitu vya kijinga namna hiyo!
Kwani huwezi jadili hoja yako bila kukejeli hoja za wengine? Kama udaktari unakupa shida sana, kwanini usisome na wewe uupate?
 
Anaye elewa anieleweshe pole pole

Crude oil inayotoka Hoima Uganda inaweza kuzalisha mapipa 240,000 kwa siku kama sikosei.

Lamu refinery inatarajia kuzalisha Mapipa 700,000 Bado Hoima itajengwa ya kuzalisha Mapipa 60,000 kwa siku na hiyo ya Tanga ya Mswahili nayo.

Najiuliza mbona uzalishaji mkubwa kuliko malighafi iliyopo?

Mbona East Afrika yote imejikita Tu kwenye uzalishaji hakuna mpango wowote WA kuongeza uzalishaji wa malighafi (crude oil)..?

Je haswa Lamu Kenya haioni itakabiliwa na ukosefu mkubwa wa malighafi na kufanya refinery ya Hoima na Tanga kuzalisha kwa gharama ndogo na yenyewe kulazimika kujiendesha kwa hasara?

Je Nairobi haioni imejiingiza kwenye vita ya kiuchumi na Uganda na Tanzania ukizingatia nchi hizi Mbili zina historia kubwa.?

Kuliko kuwekeza nguvu nyingi kwenye refinery nchi hizi tatu giant of east Africa hazioni haja kuanza mchakato kwa kutafuta crude oil kuongeza malighafi itakayohitajika na refiner
 
Kwani huwezi jadili hoja yako bila kukejeli hoja za wengine? Kama udaktari unakupa shida sana, kwanini usisome na wewe uupate?
Umewazua very shallow sana mkuu! Hiki ndicho kinamfabya Mh. Musukuma awatukane wasomi wa Tanzania.
 
Kwani kuna mahali mkuu wamesema hiyo ya Lamu itategemea mafuta ghafi kutoka Hoima peke yake? Inavyoonekana itachakata na ya kutoka nje.
 
Hiki ndicho kitakachotokea! Vita ya kugombea crude oil na baadaye Kuna refinary itakuja kufa kwasababu za ushindani wa soko.
Mazao ya mafuta ni mengi, ikiwepo mbolea. Tunaweza diversify uwekezaji kwenye mnyororo wa thamani wa bidhaa za petroli katika namna itakayoleta win win arrangement.
By the way, kama mwelekeo ni kuwa na nchi moja inayoitwa Jumuiya ya Africa Mashariki, kwanini tukanyagane miguu?
 
Tanga hakuna refinery itajengwa kwa sasa mkuu. Unless Dangote abadili mawazo au miaka ijayoo sana
 
Kwani kuna mahali mkuu wamesema hiyo ya Lamu itategemea mafuta ghafi kutoka Hoima peke yake? Inavyoonekana itachakata na ya kutoka nje.
Unaweza nisaidia Lamu itategemea crude oil kutoka nchi gani na kuna mkakati upi ambao umeshaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…