Maandalizi ya sikukuu kwa madada zetu

mkubhi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
2,216
Reaction score
3,319
Kuelekea sikukuu ya pasaka watu wamekuja na msuko mpya kazi kwenu
 
Huo msuko utatufaa sana sisi akina yakhe tunaozbaga uso, asante kwa ubunifu
 
Wanawake wanahangaika sana mala wajichubue,mala wavae mawigi ila si tunapataka pale kati tu.
 
Wanawake walivyo awapendi kupitwa na kitu lazima wataiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…