Pre GE2025 Maandalizi ya Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa yamekamilika. Tunawatakia kila la heri Wagombea wote

Pre GE2025 Maandalizi ya Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa yamekamilika. Tunawatakia kila la heri Wagombea wote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika.

Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa uhakika wako tayari kabisa, na kwa kweli tunawatakia kila la heri

Screenshot_2024-05-28-21-15-57-1.png
Ujumbe wetu kwa wahusika wote ni huu hapa

Screenshot_2024-05-28-21-15-57-2.png

Pia soma:
 
Namtakia kila la Heri na ushindi mnono na wa kishindo utakao itetemesha Nyanda za juu kusini Billionea na Muwekezaji Mhessimiwa SUGU a.k.a mr 2 Mpambanaji wa Kweli kutoka Mtaani na Mtu wa kuigwa kwa wanaojitafuta.

Ni mfano halisi wa maana ya kuto kukata tamaa katika maisha na kuwa na subira na uvumilivu katika utafutaji na kujuwa kuwa wakati wako ukifika kila mlango utafunguka tu.
 
Mimi ni Team Chadema
sawa hongera sana kamanda, unafanya vizuri sana

ila mchungaji msigwa mmembana sana lakini ndugu zangu dah!!, right left and center, mbaba wa watu hapumui wala kuhema.🐒

kila akimgusa mjumbe , anaambiwa sugu kaishapita na laki mbili mbili kila mjumbe 🤣
 
Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika...
Wewe na bosi wako hamtaki kukemea Rushwa?
 
Kumbe ndio maana chama kikishika Dola Huwa Kwa namna yoyote hawakubali kuachia.

Madaraka ni kitu ingine,

Hongereni Kwa maandalizi.
 
mmemfanya Mchungaji wa watu aanze kuzunguka na kuingia karibu kila bar kusaka wajumbe, na kila akifika bar anaambiwa pombe yote ya humu imeshalipiwa na Sugu 🤣

anapitia mateso makali sana mbaba wa watu dah 🐒
😃😃😃😃Naomba kura zote za Ndio ziende kwa Billionea SUGU maana mchungaji badala ya kutafuta wajumbe makanisani yeye anaanza kwenda kupita kwenye Ma Bar kuuliza nani amelipia Pombe 😃😃😃

Wajumbe msikosee .kazi ni moja tu ni kuchukua na kuweka SUGUUU a.k.a. mr ii 😃😃😃
 
😃😃😃😃Naomba kura zote za Ndio ziende kwa Billionea SUGU maana mchungaji badala ya kutafuta wajumbe makanisani yeye anaanza kwenda kupita kwenye Ma Bar kuuliza nani amelipia Pombe 😃😃😃

Wajumbe msikosee .kazi ni moja tu ni kuchukua na kuweka SUGUUU a.k.a. mr ii 😃😃😃
Bila shaka yoyote sugu anapita, chain ya chairman Taifa ni ndefu na endorsement na influence yake ni kubwa mno kwa wajumbe 🐒

Sasa msigwa na vice chairman wanainfluence kidogo tu tena ni kwa wanachadema wa kawaida, so hawawezi fua dafu Mbele ya wajumbe 🐒
 
bila shaka yoyote sugu anapita, chain ya chairman Taifa ni ndefu na endorsement na influence yake ni kubwa mno kwa wajumbe 🐒

sasa msigwa na vice chairman wanainfluence kidogo tu tena ni kwa wanachadema wa kawaida, so hawawezi fua dafu Mbele ya wajumbe 🐒
Muda wote wanalalamika tu .halafu badala ya kupiga kampeni na kuomba kura yeye anaanza kuuliza habari za pombe na makreti yake kuwa yamenunuliwa na nani.
 
Mchungaji Msigwa alilalamikia nn?
pamoja na mambo mengine amelalamikia rushwa kupindukia na kutokua na Imani na msimamizi wa uchaguzi huo muhimu sana chadema 🐒
 
Back
Top Bottom