kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Yaani imetengenezwa picha kambi ya Mbowe ni watu wa rushwa chadema haiaminiki kwa vipande vya fulusi!Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika.
Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa uhakika wako tayari kabisa, na kwa kweli tunawatakia kila la heri
View attachment 3002249
Ujumbe wetu kwa wahusika wote ni huu hapa