kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Yaani imetengenezwa picha kambi ya Mbowe ni watu wa rushwa chadema haiaminiki kwa vipande vya fulusi!Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika.
Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa uhakika wako tayari kabisa, na kwa kweli tunawatakia kila la heri
View attachment 3002249
Ujumbe wetu kwa wahusika wote ni huu hapa
Sugu hataki machawaNamtakia kila la Heri na ushindi mnono na wa kishindo utakao itetemesha Nyanda za juu kusini Billionea na Muwekezaji Mhessimiwa SUGU a.k.a mr 2 Mpambanaji wa Kweli kutoka Mtaani na Mtu wa kuigwa kwa wanaojitafuta.
Ni mfano halisi wa maana ya kuto kukata tamaa katika maisha na kuwa na subira na uvumilivu katika utafutaji na kujuwa kuwa wakati wako ukifika kila mlango utafunguka tu.
Namtakia Ushindi Chama cha Zuma huko SA πππMaandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika.
Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa uhakika wako tayari kabisa, na kwa kweli tunawatakia kila la heri
View attachment 3002249
Ujumbe wetu kwa wahusika wote ni huu hapa
Maccm mnapomshabikia Sugu ndiyo mnazidi kumharibia. Kura yangu kwa MsigwaππππNaomba kura zote za Ndio ziende kwa Billionea SUGU maana mchungaji badala ya kutafuta wajumbe makanisani yeye anaanza kwenda kupita kwenye Ma Bar kuuliza nani amelipia Pombe πππ
Wajumbe msikosee .kazi ni moja tu ni kuchukua na kuweka SUGUUU a.k.a. mr ii πππ
sawa hongera sana kamanda, unafanya vizuri sana
ila mchungaji msigwa mmembana sana lakini ndugu zangu dah!!, right left and center, mbaba wa watu hapumui wala kuhema.π
kila akimgusa mjumbe , anaambiwa sugu kaishapita na laki mbili mbili kila mjumbe
Yaani imetengenezwa picha kambi ya Mbowe ni watu wa rushwa chadema haiaminiki kwa vipande vya fulusi!
Halafu hizo kambi zenyewe wala hata hazipo yaani!!Yaani imetengenezwa picha kambi ya Mbowe ni watu wa rushwa chadema haiaminiki kwa vipande vya fulusi!
Makamu mwenyekiti sio mtu poa kwa ustawi wa chama!Halafu hizo kambi zenyewe wala hata hazipo yaani!!
Rushwa imekubalika CHADEMA. Hapa ndio chama kitajipambanua kuwa hiki chama kikiingia madarakani kitakuwa ni cha mlengo upi.Kama Sugu atashinda kwa rushwa chama kitapasuka
Acha uongo weweRushwa imekubalika CHADEMA. Hapa ndio chama kitajipambanua kuwa hiki chama kikiingia madarakani kitakuwa ni cha mlengo upi.
Haya, kanyaga twende ama mfanya biasha/ bwana mapesa- Sugu ( alishasema kwenye mdahalo kuwa yeye huwashauri wananchi wapokee pesa (Rushwa) na kula...Kitachofuata anajua yeye).
Au mchungaji bila hekalu Msigwa anayeamini katika kuelimisha wananchi/wanachadema Katiba ya chama, kanuni na uraia- Sijui anawaachaje wananchi baada ya mafunzo.......?
Hujui kituMakamu mwenyekiti sio mtu poa kwa ustawi wa chama!
Mchungaji anatakiwa kuwa na ushahidi - lakini kasema kwamba msimamizi kanywa juice na mgombea mwenzake hiyo haina mashiko - maana hata yeye angemwita kupata gahawa angeenda tu.pamoja na mambo mengine amelalamikia rushwa kupindukia na kutokua na Imani na msimamizi wa uchaguzi huo muhimu sana chadema π
kwenye uchaguzi signal za kimazingira tu zinakupa picha kamili ya hali halisi, halafu watu huwa wamejipanga vizuri sana, hayupo mjumbe au mgombea anaweza kujianika na achukuliwe ushahidi πMchungaji anatakiwa kuwa na ushahidi - lakini kasema kwamba msimamizi kanywa juice na mgombea mwenzake hiyo haina mashiko - maana hata yeye angemwita kupata gahawa angeenda tu.
Ahsante ibaki hivyo!Hujui kitu
mtumishi na msanii wameacha kugombana?Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika.
Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa uhakika wako tayari kabisa, na kwa kweli tunawatakia kila la heri
View attachment 3002249
Ujumbe wetu kwa wahusika wote ni huu hapa
Hujui kitu wewe.Halafu hizo kambi zenyewe wala hata hazipo yaani!!