MBOKA NA BISO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 766
- 792
Kuna habari zilienea kipindi fulani watoto wa Tshekedi hakuna mwenye chini $200m katika account, hapa kwetu tuna wadokozi wezi wapo ๐จ๐ฉViongozi wa Congo ni majizi tu yanayoiba mali Eastern DRC na kwenda kula bata Paris na Brussels
Harakati za M-23 ni fully justified
Hata wasuluhishi nao wezi tu.Viongozi wa Congo ni majizi tu yanayoiba mali Eastern DRC na kwenda kula bata Paris na Brussels
Harakati za M-23 ni fully justified
Hahahahahaa mkuu, na mimi mtazamaji kama wewe jamani. Hapa nakujuzaga tu kinachojili.Mkuu this time mtapigwa mchakae maana nimeona wakolombia wamejipaka masizi ili wafanane na banyamulenge.
Mkuu watu wawe wnakuwa responsible itakuwaje deal ya Kagame na ๐บ๐ธ wakati DRC ndio walifata hao ๐บ๐ธ? Kusema ni lazima sio kweli ila kama wanaona hiyo ni better option sioni tatizoHahahahahaa mkuu, na mimi mtazamaji kama wewe jamani. Hapa nakujuzaga tu kinachojili.
Issue ni moja hapa nayojiulizaga. DRC haitaruhusiwa kuuza madini ambayo hayajasafishwa. Na rafinery, lazima ifanyiwe Rwanda. Hapa mi naona kama mchezo wa US na Rwanda, huku DRC tayari ishakubaliana na hilo, ikishindwa kutekeleza, itakuwaje?
Ya vita mi siyaingilii, maana kila upande una nguvu zake unajiamini.
Hao wa Colombia, wengi ni wa kutumia drones na ndege vita. Defensive measures za Rwanda, zimekava karibia eneo lote la Kivu Kaskazini.
Hakika, na Kivu Kusini inawezekana, kwa sababu Uvira si mbali na Bukavu.
Issue ni moja. Ikiwa anga litakuwa halipitiki, itakuwaje?
Yale makubaliano ya amani yaliyosainiwa kule Marekani mnataka kuyavunja?Baada ya serikali ya DRC kuongeza wanajeshi na mercenaries kutoka Marekani na Ulaya, taarifa za awali, zinasema AFC/M23 imeshazingira Uvira.
Rais wa DRC amesema atahakikisha Kivu zote zinarudi kwa gharama yoyote.
Sijajua unamaanisha nini! Deal ya Kagame na US, ni kwamba madini yatachimbwa DRC, na yatasafishiwa Rwanda ndo yasafilishwe kwenda Marekani.Mkuu watu wawe wnakuwa responsible itakuwaje deal ya Kagame na ๐บ๐ธ wakati DRC ndio walifata hao ๐บ๐ธ? Kusema ni lazima sio kweli ila kama wanaona hiyo ni better option sioni tatizo
Mkuu nilivoelewa huo mkataba wawekezaji kutoka ๐บ๐ธ ndio wanunuzi wa madini huko DRC then yatasafirishwa to Rwanda kwa ajili ya refinerySijajua unamaanisha nini! Deal ya Kagame na US, ni kwamba madini yatachimbwa DRC, na yatasafishiwa Rwanda ndo yasafilishwe kwenda Marekani.
Kumbuka, kampuni kwa sasa zenye leseni za uchimbaji madini, zipo nchini Rwanda. Hizo hizo, ndo zilitembelea uongozi wa M23 kuhusu usafilishaji wa madini. Sasa unaposema sio lazima, sijui unamaanisha nini. Kwa hiyo, unadhani vinu vya kusafishia madini hayo, vilijengwa bila uhakika wa mzigo wa kutosha? Unavyohisi?
Mpaka hapo hujaelewa chochote?
Kwa uelewa wangu, hapo kati kati kuna jambo. US haijakosa hela ya kusafilisha hayo madini na kuyasafishia kwake, DRC ina maeneo mengi ambayo yangeweza kujengwa refinery. Na Companies zinazohusika na huo uchimbaji, ujue zote makao ni Rwanda. Je, hamna kitu hapo kati kati?Mkuu nilivoelewa huo mkataba wawekezaji kutoka ๐บ๐ธ ndio wanunuzi wa madini huko DRC then yatasafirishwa to Rwanda kwa ajili ya refinery
Utanionea maaa na mimi ni mwandishi tu si kwamba nina uhusiano na mikataba ya wakubwaYale makubaliano ya amani yaliyosainiwa kule Marekani mnataka kuyavunja?
Me naona wanaenda kumpa kagame umaarufu na kumuongezea kuogopwa zaidi katika bara la AfrikaMkuu this time mtapigwa mchakae maana nimeona wakolombia wamejipaka masizi ili wafanane na banyamulenge.
Mkuu tall ana haki ya kulinda raia wake, marais wote ambao ni wanajeshi hawachezi na milipuko sasa mkongo kakaza fuvu rafiki yake wa karibu alimuonya na akashauri wazungumze ila sababu you never know ana reason behind ndio maana kashupaa. Hii iwe fundisho kwa marais wote kuianza vita ni rahisi ila kuimaliza mpaka mmoja kichapo kikolee ndio ata surrender.Me naona wanaenda kumpa kagame umaarufu na kumuongezea kuogopwa zaidi katika bara la Afrika