Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa kutoka kwenye vyanzo vya Uhakika Ndani na Nje ya Nchi , Chadema HQ na Chadema Diaspora , zinaeleza kwamba Maandalizi ya yale Maandamano kabambe ya amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania Yamekamilika .
Taarifa zingine zinaeleza kwamba Wananchi Nchi nzima na walio nje ya Nchi Wanayasubiri kwa hamu kubwa Maandamano hayo, hasa baada ya Rais Samia kusaini Sheria Mbovu za uchaguzi , huku akijua hazifai hata kwa Uchaguzi wa majaribio, Wengi wameahidi kujitokeza ili kumthibitishia Rais Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa ccm kwamba, Sheria hizo hazikubaliki na hazitakiwi kuwepo na zifutwe ili kulinda Haki na Demokrasia .
Usiondoke J , maana Tayari tuko kwenye wiki ya mwisho kuelekea tarehe za Maandamano hayo , Ambayo hayajawahi kufanyika kwenye nchi hii tangu iumbwe na Mungu , kutakuwa na Updates za hapa na pale kuhusiana na Maandamano hayo kutoka kote Duniani .