Matatizo ya taifa letu nimakubwa sana na hayata tatulika kwa kuandamana pekeyake, mfumo mzuri unaanzia kwenye katiba yenyewe hapo ndio paku komaa napo., hata ukipewa pesa leo baada ya mwaka utasikia utata mwingine, ndio utawala wenyewe ulivyo, kuna mambo yana tia uchungu, kama raia tukileta mdhaha tusije kushangaa kwamba mpaka tuna zeeka kero ndio zile zile. Bongo mizinguo mingi.plan zetu,utendaji, na usimamizi ni hafifu, wachina
wana mitambo, na rasilimali nyingi kwasababu wanajitambua wana fanya nn na wana elekea wap, sisi hatuja jielewa vizur.