ha ha ha,jipangee mkuu,sio unazaa watoto lundo ili baadae kupigia kelele eti field,field kitu gani bana.miaka yote watu hawaendi hiyo field mpaka magaidi wa ukawa wawambie andamaneni kudai field eti hela zimeishia bunge la katiba badala ya kwenda kulipia field.nashukuru mungu nimebain umepungukiwa akili siyo damu mana nilikuwa napanga kujitolea ya kwangu ...inabidi nikuhurumie tu mana sina masada kwa hilo
unafikiria kwa ku2mia makali.o sio kosa lako!unajua wanafunzi wanavyopata shida,kuna mdada kwa ugumu wa life amemfata supervisor kuomba msaada jamaa akata game in return,dada wa watu kapanua mapaja!vp kama angekuwa dadaako?kuna vijana wengi tunawaona wanavyohangaika,unaona haya mazuri au wewe huna watoto so huna cha kupoteza shwain mkubwa wew!
Badala ya kuwapa mawazo wafanye ni kwa kutelekezwa kwa wiki 8 we unaona poa 2 nakushangilia wapigwe!
ukisikia maandamano tu basi ujue chadema ipo ndani
ha ha ha,jipangee mkuu,sio unazaa watoto lundo ili baadae kupigia kelele eti field,field kitu gani bana.miaka yote watu hawaendi hiyo field mpaka magaidi wa ukawa wawambie andamaneni kudai field eti hela zimeishia bunge la katiba badala ya kwenda kulipia field.