Pre GE2025 Maandamano CHADEMA Mwanza kuhujumiwa na Media: Ni wakati Kuviadhibu vyombo vya habari

Pre GE2025 Maandamano CHADEMA Mwanza kuhujumiwa na Media: Ni wakati Kuviadhibu vyombo vya habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
CHADEMA kikiwa ndio chama kikuu cha upinzani na chama ogopewa na watawala wa CCM kimepanga maandamano huko Jijini Mwanza.

Kuna waandishi wa habari wabaadhi vyombo vyenye heshima kubwa wamepewa fedha, wanakusanya vijana wa Bodaboda ambao kwa asili ni vijana wa chama tawala wamekuwa wakijifanya hawataki maandamano kwakuwa wanatakiwa wafanye kazi, sijui kutakuwa na machafuko, sijui nini! Hivi hawa ndio mnawaita maafisa usafirishaji, Makonda alipokuja mkafunga barabara zote na kuwalazimisha wakampokee.

Hawa ndio wanatumika kama ile mipira inayotolewa kwa msaada wa watu wa Marekani.

Maandamano yanapigania hali bora kwa kila mtanzania na si kwaajili ya viongozi wa CHADEMA, hawa wakivunjika bandama wanataka watibiwe na daktari ambaye halipwi posho wala mshahara ila mbunge analipwa advance ya mshahara.

HAITIVI mmekuwa kama mpira utolewao na US AID, mnatumika vibaya, mtatupwa jalalani.

Mzee "CHACHE" angalikuwa hai asingeposti huu ushuzi mnaohadaa watanzania.
 
Yaani ninyi CHADEMA ni kama wagonjwa wa akili. Walalamishi kama vitoto vya chekechea visivyopenda shule. Ninyi kila kitu ni kulalamika tu kama mazuzu. Kila siku mnalalamikia vyombo vya habari. Kwanini msianzishe vya kwenu? Kwanini mnatafuna pesa zote za Ruzuku?

Maandamano yenu yamedoda mmeanza kulia lia hapa. Yaani ninyi akili zenu ni za kitoto sana. Mnakwenda kama vipofu kwa kila kitu, mnalishana ujinga na uhayawani kwa kila jambo.
 
Kwanini mnaendesha maandamano wakati mgombea wenu hajazikwa?

Media gani iwape sapoti kwa uhuni huu?
Hawajamtendea haki hawajui kuwa huko Kanda ya ziwe wengi waliokuwa wakifurika mikutano ya Lowasa ni wale Kundi la Friends of Lowasa sio Friends of Chadema. Wasitegemee Friends of Lowasa watoke kuandamama Wakati Friend kafariki na wako kwenye maombolezo

Vyombo vya habari vina haki.kabisa kutoropoti chochote Cha kuhusu Chadema Kipindi hiki Cha Msiba wa Lowasa walitakiwa Kwa kumuenzi wasiitishe hayo maandamano Sababu Kundi kubwa lililowapa kick 2015 ni Friends of Lowasa
 
Naona mmekosa watu wazee poleni sana, Taifa linamlilia mgombea wenu nyie hamjali mnataka tu kuandamana
Shida ni watu au ujumbe kufika.?
Wewe hapo kwa shemeji yako leo mnakunywa uji bila sukari na huna ubavu kumwambia mume wa dada yako, CHADEMA inakusaidia kusem hata usipotoka kuunga mkono.

Nyerere na kina Sykes waligombea uhuru wakishirikiana na Mangi Mareale wakati watu kama ninyi wakiwabeza na kuridhika na vijizawadi vya wakoloni.
 
Maandamano yatakuwepo tu Hilo halina shaka,na watu watakuepo.
Najiuliza tu,mtu mwenye akili timamu unaanzaje kuwananga watu wanaopigania mambo yenye tija Kwa wananchi na Nchi kiujumla!.
Unapataje nguvu ya kuona kwamba Chadema inafabya jinsi,Ina maana hufatilii hata hoja zao au kisa una kadi ya Ccm ndo Kila kitu ni sawa Kwa Ccm.

Hamwoni aibu mambo anayoyafanya Makonda Kwa watendaji wa wanaofanya ujinga na wanaotokana na Serikali ya Ccm!.

Naimani Mtanzania anaejielewa,hawezi kuwa shabiki maandazi kiasi hicho.

Mda mwingine mfiche watu wasijue kama hamna akili.

Ccm ni janga Kwa Taifa.
 
Vyombo vya habari viko msibani msiba wa kitaifa wa Lowasa acheni kutafuta mchawi maandamano yenu kudoda
Nenda SEWAHAJI ukatiwe ugonjwa wa akili.
Hicho cjhombo kilichoposti kimeposti kutokea msibani?
 
Maandamano yatakuwepo tu Hilo halina shaka,na watu watakuepo.
Najiuliza tu,mtu mwenye akili timamu unaanzaje kuwananga watu wanaopigania mambo yenye tija Kwa wananchi na Nchi kiujumla!.
Unapataje nguvu ya kuona kwamba Chadema inafabya jinsi,Ina maana hufatilii hata hoja zao au kisa una kadi ya Ccm ndo Kila kitu ni sawa Kwa Ccm.

Hamwoni aibu mambo anayoyafanya Makonda Kwa watendaji wa wanaofanya ujinga na wanaotokana na Serikali ya Ccm!.

Naimani Mtanzania anaejielewa,hawezi kuwa shabiki maandazi kiasi hicho.

Mda mwingine mfiche watu wasijue kama hamna akili.

Ccm ni janga Kwa Taifa.
Rejea habari za Uhuru wa Taifa, rejea harakati za Ukombozi, kulikuwa na vibaka weusi waliopinga kabisa kupata uhuru huku. wakiamini kutakuwa na machafuko.
Walipinga kila kitu chema, sishangai kundi kubwa lilimpinga Nyerere lakini aliamua tupate uhuru.
Kundi lile liliacha vizazi vya laana ndio hawa wamejipa jina la CHAWA.
 
Kwanini mnaendesha maandamano wakati mgombea wenu hajazikwa?

Media gani iwape sapoti kwa uhuni huu?
Mgombea hatambuliki na tangu amefariki hakuna pahala ametajwa kama mgombea wa CHADEMA,
Mbowe kanyimwa hata kutoa salamu za pole.
Mnyika kanyimwa kutoa salamu za pole.
Serikali iliyotoa salamu za pole imekataa kuwatambua wapinzani , mbowe wala CHADEMA.
 
Huwa ninaunga mkono sana harakati za Chadema katika kupigania maslahi ya mtanzania....Ila kuandamana wakati huu wa maombolezo, wanaoratibu wamekosea mno.
 
Huwa ninaunga mkono sana harakati za Chadema katika kupigania maslahi ya mtanzania....Ila kuandamana wakati huu wa maombolezo, wanaoratibu wamekosea mno.
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema CHADEMA hakuna wazee, nilikuwa simuamini ila kupitia hili naanza kumuamini!

Aliyewahi kuwa mgombea wao wa urais amefariki, hajazikwa, wanalia hawajapewa nafasi ya kuzungumza msibani lakini muda huo huo katika hali ya kutojali, wanaendelea na maandamano.

CHADEMA inapotea kwa kasi ya ajabu sana. Na hawajazuiwa kufanya hayo maandamano, wameachwa wajikaange kwa mafuta yao wenyewe!

Kupitia maandamano ya juzi, CCM imetambua kwamba, kinachofanya maandamano yawe habari, ni kitendo cha jeshi la polisi kutumia nguvu kuyazuia. Nguvu isipotumika, maandamano si kitu!
 
Wananchi hawaelewi kwanini wakaandamane, tunajua mnatumia maandamani kama njia ya kumtafutia mtu nafasi ya kuwa kiongozi wakati kwa wananchi na familia zao hakuna anaewajali.
Fikiria ukaandamane ulale njaa au ufanye kazi ulale umeshiba.

Mda mwingine vyama vya upinzani vijifunze njia bora za kutoa sera zao kwa wananchi bila kuyaathiri maisha ya wananchi, msifanye siasa kwa kuziiga nchi zilizoendelea kiuchumi.
Fanyeni siasa kuendana na uhalisia wa maisha ya wananchi , cha umuhimu ni kuifikisha sera lengwa kwa wananchi, nguvu kidogo akili ndy iwe kubwa.

Ni sahihi wananchi kugoma kuandamana mana sio lazima kufanya hivyo kama utakuwa unajitambua na unafahamu hali yako ya kimaisha.
 
Back
Top Bottom