Pre GE2025 Maandamano CHADEMA Mwanza kuhujumiwa na Media: Ni wakati Kuviadhibu vyombo vya habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CHADEMA kikiwa ndio chama kikuu cha upinzani na chama ogopewa na watawala wa CCM kimepanga maandamano huko Jijini Mwanza.

Kuna waandishi wa habari wabaadhi vyombo vyenye heshima kubwa wamepewa fedha, wanakusanya vijana wa Bodaboda ambao kwa asili ni vijana wa chama tawala wamekuwa wakijifanya hawataki maandamano kwakuwa wanatakiwa wafanye kazi, sijui kutakuwa na machafuko, sijui nini! Hivi hawa ndio mnawaita maafisa usafirishaji, Makonda alipokuja mkafunga barabara zote na kuwalazimisha wakampokee.

Hawa ndio wanatumika kama ile mipira inayotolewa kwa msaada wa watu wa Marekani.

Maandamano yanapigania hali bora kwa kila mtanzania na si kwaajili ya viongozi wa CHADEMA, hawa wakivunjika bandama wanataka watibiwe na daktari ambaye halipwi posho wala mshahara ila mbunge analipwa advance ya mshahara.

HAITIVI mmekuwa kama mpira utolewao na US AID, mnatumika vibaya, mtatupwa jalalani.

Mzee "CHACHE" angalikuwa hai asingeposti huu ushuzi mnaohadaa watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ninyi CHADEMA ni kama wagonjwa wa akili. Walalamishi kama vitoto vya chekechea visivyopenda shule. Ninyi kila kitu ni kulalamika tu kama mazuzu. Kila siku mnalalamikia vyombo vya habari. Kwanini msianzishe vya kwenu? Kwanini mnatafuna pesa zote za Ruzuku?

Maandamano yenu yamedoda mmeanza kulia lia hapa. Yaani ninyi akili zenu ni za kitoto sana. Mnakwenda kama vipofu kwa kila kitu, mnalishana ujinga na uhayawani kwa kila jambo.
Kwa hakika itafika kipindi wananchi watakichoka hiki chama mana hakuna la maana ni kelele tu kila kukicha, hawana dira mikakati wala malengo ni maneno tu, wanajilindia nyazfa zao ili waendee kagawana hizo ruzuku, hakuna cha ajabu wanachokifanya zaidi ya kuwachanganya watanzani.
 
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema CHADEMA hakuna wazee, nilikuwa simuamini ila kupitia hili naanza kumuamini!

Aliyewahi kuwa mgombea wao wa urais amefariki, hajazikwa, wanalia hawajapewa nafasi ya kuzungumza msibani lakini muda huo huo katika hali ya kutojali, wanaendelea na maandamano.

CHADEMA inapotea kwa kasi ya ajabu sana. Na hawajazuiwa kufanya hayo maandamano, wameachwa wajikaange kwa mafuta yao wenyewe!

Kupitia maandamano ya juzi, CCM imetambua kwamba, kinachofanya maandamano yawe habari, ni kitendo cha jeshi la polisi kutumia nguvu kuyazuia. Nguvu isipotumika, maandamano si kitu!
Hayo malalmiko umeyapata kupitia JOHN MREMA -msemaji rasmi wa CHADEMA au umeyapata kwa wanachama na wakereketwa ambao si wasemaji na kauli zao si za chama?

Huu ujmbe wako unaonyesha vile upo-very low upstairs!
huu ujumbe unonyesha ni bando tu
Wananchi hawaelewi kwanini wakaandamane, tunajua mnatumia maandamani kama njia ya kumtafutia mtu nafasi ya kuwa kiongozi wakati kwa wananchi na familia zao hakuna anaewajali.
Fikiria ukaandamane ulale njaa au ufanye kazi ulale umeshiba.

Mda mwingine vyama vya upinzani vijifunze njia bora za kutoa sera zao kwa wananchi bila kuyaathiri maisha ya wananchi, msifanye siasa kwa kuziiga nchi zilizoendelea kiuchumi.
Fanyeni siasa kuendana na uhalisia wa maisha ya wananchi , cha umuhimu ni kuifikisha sera lengwa kwa wananchi, nguvu kidogo akili ndy iwe kubwa.

Ni sahihi wananchi kugoma kuandamana mana sio lazima kufanya hivyo kama utakuwa unajitambua na unafahamu hali yako ya kimaisha.
Kwahiyo mwanangu, Maandamano ya Makonda kutukana na kudhalilisha viongozi wa serikali huwa mkimaliza mnashiba na kujua chakula cha usiku?

Kwahiyo, hiyo Katiba mpya ni kipengele cha Kumuingiza Mbowe madarakani ndio kinapiganiwa kibadilishwe?
Kwahiyo, Makonda anapozurura nchi nzima na magari ya serikali tena kwa kufunga barabara muda mwengi na hatabjuzi yamepata ajali huko hayaadhiri shughuli za wengine?

Kwahiyoi wewe upo hapo CCM Lumumba, maandamano ni saa nne, nani amekwambia wamegoma?

# Wewe mzazi wako alipaswa achomoe ama atumie mipira ya "kwa msaada wa watu wa Marekani" maani ni hasara kwa taifa na kwa Mumeo.
 
Mgombea hatambuliki na tangu amefariki hakuna pahala ametajwa kama mgombea wa CHADEMA,
Mbowe kanyimwa hata kutoa salamu za pole.
Mnyika kanyimwa kutoa salamu za pole.
Serikali iliyotoa salamu za pole imekataa kuwatambua wapinzani , mbowe wala CHADEMA.
Sawa CCM haiwatambui je na Chadema haiwatambui na wenyewe kuwa wamefiwa na aliyekuwa mgombea wao Eangeahirisha maandamano na kusema tuna muenzi mgombea wetu ingewapa pointi nyingi kuliko kukomalia maandamano Wakati mgombea wao hajazikwa
 
Maandamano yanapigania hali bora kwa kila mtanzania na si kwaajili ya viongozi wa CHADEMA, hawa wakivunjika bandama wanataka watibiwe na daktari ambaye halipwi posho wala mshahara ila mbunge analipwa advance ya mshahara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chama kitengeneze sera zake vizuri, habari ya kutaka kutumia nguvu ya wananchi ili kupata dola sio njia sahihi nchi nyingi zimefanya hivyo zimeishia kwenye machafuko.
Tunahitaji siasa safi zitakazoleta mwanga kwenye maisha ya watanzania sio kufanya siasa zitakazotupelekea kujikuta kwenye dimbwi la machafuko, sio kwamba haifahamiki kwamba dalili za mvua ni mawingu, inafaamika na si vyema kuwazoesha watanzania hulka ya kuleta maandamano ndani ya nchi bila kutumia hekima.

Ikimbukwe kwamba hii nchi ilikombolewa mikononi mwa wakoloni kwa maarifa na wala sio kwa misuguano kama hivi.
 
Sawa CCM haiwatambui je na Chadema haiwatambui na wenyewe kuwa wamefiwa na aliyekuwa mgombea wao Eangeahirisha maandamano na kusema tuna muenzi mgombea wetu ingewapa pointi nyingi kuliko kukomalia maandamano Wakati mgombea wao hajazikwa

WhatsApp Image 2024-02-15 at 10.08.49.jpeg

Wakati nyie mnaomboleza yeye anafurahi jambo na Mfale.

Wakati wapo Mwanza ilibidi tusiunge foleni kununua sukari maana kuna msiba.
Wakati tunatoa hesham za mwisho karimjee , ilibidi sikukuu ya valentine isimame.

wakati mzee anafariki ILIBIDI SAMIA SULUHU asitishe ziara ya Ulaya kumtembelea Papa, ziara ya Norwaya na Poland, kwenye raha wakati huku kuna msiba maana ni mwanachama wa CCM, waziri mkuu aliyejiuzulu na pia mgombea wa CHADEMA
 
Hayo malalmiko umeyapata kupitia JOHN MREMA -msemaji rasmi wa CHADEMA au umeyapata kwa wanachama na wakereketwa ambao si wasemaji na kauli zao si za chama?

Huu ujmbe wako unaonyesha vile upo-very low upstairs!
huu ujumbe unonyesha ni bando tu

Kwahiyo mwanangu, Maandamano ya Makonda kutukana na kudhalilisha viongozi wa serikali huwa mkimaliza mnashiba na kujua chakula cha usiku?

Kwahiyo, hiyo Katiba mpya ni kipengele cha Kumuingiza Mbowe madarakani ndio kinapiganiwa kibadilishwe?
Kwahiyo, Makonda anapozurura nchi nzima na magari ya serikali tena kwa kufunga barabara muda mwengi na hatabjuzi yamepata ajali huko hayaadhiri shughuli za wengine?

Kwahiyoi wewe upo hapo CCM Lumumba, maandamano ni saa nne, nani amekwambia wamegoma?

# Wewe mzazi wako alipaswa achomoe ama atumie mipira ya "kwa msaada wa watu wa Marekani" maani ni hasara kwa taifa na kwa Mumeo.
Sawa, ila hautambui unachokishinikiza, Kenya walikuwa kama sisi, amani ilikuwa kama huku kwetu, ila unaona madhara wanayoyapata hadi leo nchi yao migogoro ni suala la kugusa tu, sababu ya kujivika utamaduni kama huo mnaoutaka kuukoleza nchini.

Watu kama nyie mnaowaza leo tu bila kuangalia kesho ndy mnaweza kuitumbukiza nchi kwenye matatizo bila kujua.

Hasara kwa wazazi wako wamepata toto lenye akili inayofunction upande wa kushoto kulia ubongo umeganda.
 
We unaonekana unawivu kumuona makonda anavyotembea, hauna hoja ya msingi itakayosisimua misuli ya ubongo wangu.
Swala la katiba halijakataliwa na serikali, ila chadema ndy imelishkilia kama agenda mama. Ukiacha katiba kuna hoja ipi nyingine ambayo ni ya msingi kwa maisha ya mtanzania?
 
Sawa, ila hautambui unachokishinikiza, Kenya walikuwa kama sisi, amani ilikuwa kama huku kwetu, ila unaona madhara wanayoyapata hadi leo nchi yao migogoro ni suala la kugusa tu, sababu ya kujivika utamaduni kama huo mnaoutaka kuukoleza nchini.

Watu kama nyie mnaowaza leo tu bila kuangalia kesho ndy mnaweza kuitumbukiza nchi kwenye matatizo bila kujua.

Hasara kwa wazazi wako wamepata toto lenye akili inayofunction upande wa kushoto kulia ubongo umeganda.
Kenya ilikuwa kama Sisi?
Usitake kutukanwa na wana jf, jisitiri ufahamu wako mdogo kwenye mambo ya kimataifa na siasa kwa ujumla.
Huko ulipo olewa, usidhubutu kuongea hivyo mbele ya baba mkwe wako, ni aibu maana vijukuu vyake vinafahamu siasa za Kenya na dunia kwa ujumla!
Unajua Robert Ouko inasemekana aliuawa kwenye nyumba kuu huko Kisumu?
Kwahiyo tukatae mageuzi kwasababau ya machafuko? Hiyo ndio hoja ? Hao wasioleta machafuko sasa hivi wapo nje ya nchi?

WANASIASA WALIOUAWA KENYA
Tom Mboya -
Mwanasiasa mashuhuri wa Kenya na mmoja wa waasisi wa taifa hili. Mboya aliuawa Julai 5, 1969, Nairobi. Mauaji yake yaliaminika kuwa yamechochewa kisiasa.

Pio Gama Pinto - Mtu mwingine mwenye ushawishi mkubwa katika siasa za Kenya, Pinto aliuawa Februari 24, 1965, jijini Nairobi. Alijulikana kwa maoni yake ya mrengo wa kushoto na harakati, na kifo chake kilihusishwa na shughuli zake za kisiasa.

Robert Ouko - Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje nchini Kenya, Ouko alipatikana amekufa katika mazingira ya kutatanisha mnamo Februari 13, 1990, huko Got Alila, karibu na nyumbani kwake kijijini. Mauaji yake bado hayajatatuliwa, ingawa kumekuwa na uvumi na nadharia za njama zinazozunguka.

J. M. Kariuki - Mkosoaji mkubwa wa serikali, Kariuki aliuawa Machi 2, 1975. Mwili wake ulipatikana karibu na Nairobi, na kifo chake kilisababisha maandamano na machafuko makubwa.

George Muchai - Mbunge na mwanaharakati wa vyama vya wafanyakazi, Muchai aliuawa Februari 7, 2015, jijini Nairobi. Alijulikana kwa utetezi wake wa haki za wafanyakazi na aliuawa katika kile kilichoonekana kama wizi usiofaa, ingawa baadhi ya watu walishuku nia za kisiasa nyuma ya mauaji yake.
 
CHADEMA kikiwa ndio chama kikuu cha upinzani na chama ogopewa na watawala wa CCM kimepanga maandamano huko Jijini Mwanza.

Kuna waandishi wa habari wabaadhi vyombo vyenye heshima kubwa wamepewa fedha, wanakusanya vijana wa Bodaboda ambao kwa asili ni vijana wa chama tawala wamekuwa wakijifanya hawataki maandamano kwakuwa wanatakiwa wafanye kazi, sijui kutakuwa na machafuko, sijui nini! Hivi hawa ndio mnawaita maafisa usafirishaji, Makonda alipokuja mkafunga barabara zote na kuwalazimisha wakampokee.

Hawa ndio wanatumika kama ile mipira inayotolewa kwa msaada wa watu wa Marekani.

Maandamano yanapigania hali bora kwa kila mtanzania na si kwaajili ya viongozi wa CHADEMA, hawa wakivunjika bandama wanataka watibiwe na daktari ambaye halipwi posho wala mshahara ila mbunge analipwa advance ya mshahara.

HAITIVI mmekuwa kama mpira utolewao na US AID, mnatumika vibaya, mtatupwa jalalani.

Mzee "CHACHE" angalikuwa hai asingeposti huu ushuzi mnaohadaa watanzania.
Kabla ya kuandamana tunataka mgawo sawa wa ruzuku ya bilioni 2.7 vinginevyo mkaandamane mliopewa chenu over over
 
CHADEMA kikiwa ndio chama kikuu cha upinzani na chama ogopewa na watawala wa CCM kimepanga maandamano huko Jijini Mwanza.

Kuna waandishi wa habari wabaadhi vyombo vyenye heshima kubwa wamepewa fedha, wanakusanya vijana wa Bodaboda ambao kwa asili ni vijana wa chama tawala wamekuwa wakijifanya hawataki maandamano kwakuwa wanatakiwa wafanye kazi, sijui kutakuwa na machafuko, sijui nini! Hivi hawa ndio mnawaita maafisa usafirishaji, Makonda alipokuja mkafunga barabara zote na kuwalazimisha wakampokee.

Hawa ndio wanatumika kama ile mipira inayotolewa kwa msaada wa watu wa Marekani.

Maandamano yanapigania hali bora kwa kila mtanzania na si kwaajili ya viongozi wa CHADEMA, hawa wakivunjika bandama wanataka watibiwe na daktari ambaye halipwi posho wala mshahara ila mbunge analipwa advance ya mshahara.

HAITIVI mmekuwa kama mpira utolewao na US AID, mnatumika vibaya, mtatupwa jalalani.

Mzee "CHACHE" angalikuwa hai asingeposti huu ushuzi mnaohadaa watanzania.
Soma comments humu ambapo 80% zinaonesha nyie ni wapumbavu 🤣🤣

View: https://www.instagram.com/reel/C3W9BxFq7KF/?igsh=djJ3b215MmJpdTgy
 
Chadema ikose watu??? Au unaishi Rwanda??View attachment 2904686
Huyo anayekwambia CHADEMA imekosa watu, yupo kwa shemeji yake analala sebuleni, hakuna umeme na sukari hamna hivyo wamesubiri uji wa chumvi.
Hapo akishakunywa uji anaenda shule kumchukua mtoto wa shemeji yake saa nane , kumvusha kwenye daraja la mbao linalokaribia kukatika huku akiwashangilia viongozi wanaotaka kuongeza ndege ya 4 ya serikali ili kila kiongozi awe na ndege yake.
 
Kenya ilikuwa kama Sisi?
Usitake kutukanwa na wana jf, jisitiri ufahamu wako mdogo kwenye mambo ya kimataifa na siasa kwa ujumla.
Huko ulipo olewa, usidhubutu kuongea hivyo mbele ya baba mkwe wako, ni aibu maana vijukuu vyake vinafahamu siasa za Kenya na dunia kwa ujumla!
Unajua Robert Ouko inasemekana aliuawa kwenye nyumba kuu huko Kisumu?
Kwahiyo tukatae mageuzi kwasababau ya machafuko? Hiyo ndio hoja ? Hao wasioleta machafuko sasa hivi wapo nje ya nchi?

WANASIASA WALIOUAWA KENYA
Tom Mboya -
Mwanasiasa mashuhuri wa Kenya na mmoja wa waasisi wa taifa hili. Mboya aliuawa Julai 5, 1969, Nairobi. Mauaji yake yaliaminika kuwa yamechochewa kisiasa.

Pio Gama Pinto - Mtu mwingine mwenye ushawishi mkubwa katika siasa za Kenya, Pinto aliuawa Februari 24, 1965, jijini Nairobi. Alijulikana kwa maoni yake ya mrengo wa kushoto na harakati, na kifo chake kilihusishwa na shughuli zake za kisiasa.

Robert Ouko - Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje nchini Kenya, Ouko alipatikana amekufa katika mazingira ya kutatanisha mnamo Februari 13, 1990, huko Got Alila, karibu na nyumbani kwake kijijini. Mauaji yake bado hayajatatuliwa, ingawa kumekuwa na uvumi na nadharia za njama zinazozunguka.

J. M. Kariuki - Mkosoaji mkubwa wa serikali, Kariuki aliuawa Machi 2, 1975. Mwili wake ulipatikana karibu na Nairobi, na kifo chake kilisababisha maandamano na machafuko makubwa.

George Muchai - Mbunge na mwanaharakati wa vyama vya wafanyakazi, Muchai aliuawa Februari 7, 2015, jijini Nairobi. Alijulikana kwa utetezi wake wa haki za wafanyakazi na aliuawa katika kile kilichoonekana kama wizi usiofaa, ingawa baadhi ya watu walishuku nia za kisiasa nyuma ya mauaji yake.
Kama haujaelewa uliza usikurupuke.
Usitumie uzi wangu kuonesha kwamba we ni mwamba kwenye historia ya siasa za kimataifa.
Hivyo kwakuwa hao wote walikiwa manguli wa siasa kwenye nchi zao hivyo unataka na sisi tufikie huko kwenye mauwaji na machafuko ndiyo ujue kuwa demokrasia imekuwa nchini?
La hasha sitamani siasa za namna hiyo nchini mwetu.
kuna wasomi wengi nchini sidhani kama mnashindwa kutumia njia nzuri za utengenezaji sera zilizobora na ushawishi kwa wananchi ili mshike dola na mfanye yote mnayotaka yafanywe na serikali hii ya ccm haijayafanya.
Zalisheni hoja zenye mashiko kwa wananchi guseni maisha ya mtanzania, chukueni imani ya mtanzania mkipata madaraka badilisheni katiba, boresheni maisha ya watanzania muone kama Chadema itatoka madarakani.
We unaizungumzia katiba sababu unaelimu mtaani kuna wananchi wengi wapiga kura hawaelewi hata kuhusu katiba, yeye anakata kusikia kuhusu maisha yake ni namna gani atakula, atalala, atavaa, unatengeneza hoja ya katiba unategemea watanzania wote wakuunge mkono!? Ni suala gumu

Tatizo siasa mnaifanya iwe ni maneno ya kuamsha hisia za wananchi kuichukia serikali yao, na wala sio kumfanya mwananchi kutambua udhaifu wa serikali ili afanye uchaguzi sahihi kwaajili ya maendeleo ya maisha yake na nchi kwa ujumla.

Alafu me ni mwanaume kama wewe akili zako za uzinzi kila uonapo ujumbe kwenye simu yako unahisi ni mwanamke uachane nazo hazitokusaidia.
 
Twende kazi! Eti Chadema imedhiriwa na wananchi? Mbona nasikia hata hao walionunuliwa na CCM wamejionea aibu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kama haujaelewa uliza usikurupuke.
Usitumie uzi wangu kuonesha kwamba we ni mwamba kwenye historia ya siasa za kimataifa.
Hivyo kwakuwa hao wote walikiwa manguli wa siasa kwenye nchi zao hivyo unataka na sisi tufikie huko kwenye mauwaji na machafuko ndiyo ujue kuwa demokrasia imekuwa nchini?
La hasha sitamani siasa za namna hiyo nchini mwetu.
kuna wasomi wengi nchini sidhani kama mnashindwa kutumia njia nzuri za utengenezaji sera zilizobora na ushawishi kwa wananchi ili mshike dola na mfanye yote mnayotaka yafanywe na serikali hii ya ccm haijayafanya.
Zalisheni hoja zenye mashiko kwa wananchi guseni maisha ya mtanzania, chukueni imani ya mtanzania mkipata madaraka badilisheni katiba, boresheni maisha ya watanzania muone kama Chadema itatoka madarakani.
We unaizungumzia katiba sababu unaelimu mtaani kuna wananchi wengi wapiga kura hawaelewi hata kuhusu katiba, yeye anakata kusikia kuhusu maisha yake ni namna gani atakula, atalala, atavaa, unatengeneza hoja ya katiba unategemea watanzania wote wakuunge mkono!? Ni suala gumu

Tatizo siasa mnaifanya iwe ni maneno ya kuamsha hisia za wananchi kuichukia serikali yao, na wala sio kumfanya mwananchi kutambua udhaifu wa serikali ili afanye uchaguzi sahihi kwaajili ya maendeleo ya maisha yake na nchi kwa ujumla.

Alafu me ni mwanaume kama wewe akili zako za uzinzi kila uonapo ujumbe kwenye simu yako unahisi ni mwanamke uachane nazo hazitokusaidia.
Kwa kifupi, wewe ni mtoto shombo za maziwa hazijakutoka mdomoni , JOINED 2022, eti usitumie uzi wangu, WTF!
 
Rejea habari za Uhuru wa Taifa, rejea harakati za Ukombozi, kulikuwa na vibaka weusi waliopinga kabisa kupata uhuru huku. wakiamini kutakuwa na machafuko.
Walipinga kila kitu chema, sishangai kundi kubwa lilimpinga Nyerere lakini aliamua tupate uhuru.
Kundi lile liliacha vizazi vya laana ndio hawa wamejipa jina la CHAWA.
Hilo nalo neno kabisa.nakumbuka kipindi Cha Magufuri,unajua ilifikia hatua wanamwita malaika aliyeshushwa na huku wanajisahaurisha kuwa Serikali Bado ni ya Ccm.

Aise,Mungu atuepushie mbali na Genge la kihuni lililojivisha koti la Chama kilichotuleyea uhuru.
Hawana maana Kwa Dunia ya sasa.
 
Hiyo dog imetokea wapi🤣.
Majitu mengine akili
Huwa ninaunga mkono sana harakati za Chadema katika kupigania maslahi ya mtanzania....Ila kuandamana wakati huu wa maombolezo, wanaoratibu wamekosea mno.
Hawajakosea mkuu,jiulize katika hotuba za msibani Kuna hata kiongozi wa Chadema aliyepewa nafasi ya kuongea licha ya kugombea nafasi!.

Pia katika hotuba zoote Kuna sehemu wamemtaja marehemu kuwa aliwahi kugombea urais kupitia Chadema!.
Sasa kama ccm waliamua kuwa hivyo,iweje Chadema waache mambo Yao yamsingi ikiwa wametengwa katika msiba,kanakwamba wanavikana vyeo.
Wapo sahihi kuendelea na mambo Yao,baada kuonekana msiba ule hauwahusu mkuu.
 
Back
Top Bottom