Maandamano Emirates Jumapili

Maandamano Emirates Jumapili

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
EzXgqogIl.jpg

Tangazo la maandamano

Jamani mie niko nyumbani lakini mliopo London ambao mtakwenda kwenye game na stoke city mnaombwa mjitokeze kwa wingi kwenye maandamano ya kumuunganga mkono Wenger ambaye ameto taarifa kuwa atabaki nasi mpaka muda wake ukiisha 2011 na baada ya hapo haoni sababu ya kutoongeza miaka mingine mitatu

Maandamano hayo yatakuwa pale nje ya pub ya The Rocket kuanzia saa 9 na robo na kama si mnywaji hamna taabu watu watacongregate pale kwenye round about mbele ya the Armoury maarufu kama THE BEAR ROUNDABOUT saa tisa na nusu then maandamano yataendelea mpaka time ya kuingia uwanjani ya kumpa support gaffer wetu au tumwite LE BOSS au kwa kiingereza THE BOSS
 
Duuh, nilidhani Emirates ile ya UAE, kumbe mambo ya kuungana mkono kwenye soka!! Watakaokuwepo wabebe na mabango ya kumpa ujumbe mwaka huu asajili kutoka PL, ama sivyo ijulikane rasmi kwamba Arsenal ni Soccer Academy inayoshiriki PL !!
 
EzXgqogIl.jpg

Tangazo la maandamano

Jamani mie niko nyumbani lakini mliopo London ambao mtakwenda kwenye game na stoke city mnaombwa mjitokeze kwa wingi kwenye maandamano ya kumuunganga mkono Wenger ambaye ameto taarifa kuwa atabaki nasi mpaka muda wake ukiisha 2011 na baada ya hapo haoni sababu ya kutoongeza miaka mingine mitatu

Maandamano hayo yatakuwa pale nje ya pub ya The Rocket kuanzia saa 9 na robo na kama si mnywaji hamna taabu watu watacongregate pale kwenye round about mbele ya the Armoury maarufu kama THE BEAR ROUNDABOUT saa tisa na nusu then maandamano yataendelea mpaka time ya kuingia uwanjani ya kumpa support gaffer wetu au tumwite LE BOSS au kwa kiingereza THE BOSS

You need to get rid of those english shareholders and get that russian dude in as the major shareholder and your club will prosper, otherwise mtakuwa kichwa cha wendawazimu kila season
 
Back
Top Bottom