Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Tangazo la maandamano
Jamani mie niko nyumbani lakini mliopo London ambao mtakwenda kwenye game na stoke city mnaombwa mjitokeze kwa wingi kwenye maandamano ya kumuunganga mkono Wenger ambaye ameto taarifa kuwa atabaki nasi mpaka muda wake ukiisha 2011 na baada ya hapo haoni sababu ya kutoongeza miaka mingine mitatu
Maandamano hayo yatakuwa pale nje ya pub ya The Rocket kuanzia saa 9 na robo na kama si mnywaji hamna taabu watu watacongregate pale kwenye round about mbele ya the Armoury maarufu kama THE BEAR ROUNDABOUT saa tisa na nusu then maandamano yataendelea mpaka time ya kuingia uwanjani ya kumpa support gaffer wetu au tumwite LE BOSS au kwa kiingereza THE BOSS