Maandamano hayana afya kwasababu hayatoi suluhisho Bora Kwa taifa

Kwa mfano mkapiga kura then what? What next?.Maswali ya ajabu kweli.Mbona mnakuwa wabinafsi kiasi hiki.

Miongozo yenu inaruhusu watu kupiga kura(ni haki yao),miongozo hiyo hiyo inaruhusu watu kuandamana(ni haki yao).Sasa ikiwa maandamano ni haki ya mtanzania kwanini ujiulize maswali ya kizembe hivi
 
Mwisho wa utawala wa kiimla wa chama dola kongwe tawala Tanzania unakaribia kwa kasi kubwa
 
Mfano mkifanya maandamano then what? and what next ? Naomba mnijibu haya maswali!

Nashauri uchaguzi kwanza then yafwate maoni ambayo yatabeba hisia za waandamanaji.
Madingi ya Mbinguni
Sijui ni uchawa,sijui ni u CCM,sijui ni ujuaji.
Kwa kifupi watu kama wewe hua mnajiona au mnadhani mna akili kushinda watu wote,lkn ukweli wewe jamaa ni Mtupu kabisa kichwani.
Nikisema Mtupu,namaana una kiwango kidogo sana Cha akili.
 
Wewe jamaa hizi akili sio zako nasema ,
Una akili nyingi nzuri kuliko umri wako,
Una upeo mkubwa sana ukiwa bado kijana mdogo sana.
 
Mfano mkifanya maandamano then what? and what next ? Naomba mnijibu haya maswali!

Nashauri uchaguzi kwanza then yafwate maoni ambayo yatabeba hisia za waandamanaji.
Madingi ya Mbinguni
Dhumuni la maandamano ni kuharibu uchaguzi - Gen Z wakifanikiwa tu hata kwa 40% aisee Uchaguzi haupo na hilo linawezekana kabisa wakikomaa
 
Kuteka wananchi kuwatoboa macho na kuua kunaleta manufaa kwa Taifa huru?
 
Mfano mkifanya maandamano then what? and what next ? Naomba mnijibu haya maswali!

Nashauri uchaguzi kwanza then yafwate maoni ambayo yatabeba hisia za waandamanaji.
Madingi ya Mbinguni

..hata uchaguzi feki sio suluhisho.

..Uchaguzi feki then what?

..Na utekaji na mauaji vinawasaidia nini Ccm?

..Ccm watakaa vipi ktk meza ya mazungumzo huko mikono yao ikiwa na damu za wanaharakati waliouwawa?
 
Kutekwa, kupotezwa ndiyo solution kwako mleta mada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…