Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Naona walioko hapo juu mnaendelea kufanya kosa lile lile la kabla 29.10.2025. Kabla ya hayo maandamano mlitumia vyeo vyenu vya Uamiri Jeshi Mkuu, Ukuu wa Mikoa, U-IGP nk kuwatishia waandamanaji, kwamba wakiandamana watakiona cha moto.
Mkaanzisha na kupitisha maandamano ya Polisi na Wanajeshi mitaani ili kuwapa hofu raia. Mkawa mnapitisha na magari ya kipolisi na kijeshi mitaani kuwatia hofu raia.
Je, ILIFANIKIWA? Jibu ni HAULIKUFANIKIWA.
Safari hii tena mmetumia mtindo ule ule wa kutumia vitisho kwa waandamanaji, lakini safari hii kwa mgongo wa DINI!
Hivi inakuwaje raia tu wa kawaida anajigamba mbele ya vyombo vya habari kwamba TUTAWAKATA VICHWA WATAKAOANDAMANA na bado hayo maneno yake yanaachwa yarushwe na vyombo vya habari!
Huyo raia, regardless ya dini yake anaachwaje huru baada ya maneno mazito kama haya? Vitisho alivyovitoa ni vya KIGAIDI, KIDINI ambavyo kwa nchi yoyote inayohitaji ustawi havipaswi kufumbiwa macho, hii haijalishi anayetoa hivyo vitisho ni raia wa kawaida au mwenye cheo chochote kile kiwe cha kiserikali au kidini.
Kama serikali inataka kuzima haya maandamano yanayosemekana kuja, basi itafute watu wa kufanya nao mazungumzo ambao wanaaminika na jamii nzima. Hao watu wakitoa neno moja tu basi hautasikia kuna mpango wa maandamano tena nchi hii.
Ila vitisho vya aina yoyote ile haviwezi kufanya kazi kwa stage tuliyofikia.
=======================
TAARIFA KWA UMMA
Mnamo Novemba 12, 2025, Jeshi la Polisi Tanzania lilitoa taarifa kwa umma likieleza kuwa linaendelea na uchunguzi kuhusu watu wanaodaiwa kupanga na kuhamasisha maandamano kupitia makundi ya mawasiliano ya mtandaoni, hususan kupitia WhatsApp.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uchunguzi wa polisi umebaini uwepo wa watumiaji wa namba mbalimbali waliopo nchini na nje ya nchi wanaodaiwa kushirikiana kupanga vitendo vya uvunjifu wa amani kwa mwavuli wa maandamano ya amani.
Miongoni mwa watu waliotajwa katika uchunguzi huo ni:-
1. Yunus Karsan raia wa Tanzania, Simu Namba, +447360921291
2. Said Khamis raia wa Tanzania, Simu Namba +255713213476
3. Olipa Manyama raia wa Tanzania, Simu Namba +255769353620
4. Abdulrahiman Juma raia wa Tanzania, Simu Namba +255745989395
5. Juma Abdallah raia wa Tanzania, Simu Namba +255788981512
ambao wanadaiwa kutumia namba ya simu kupanga, kuratibu na kuhamasisha maandamano kupitia mawasiliano ya mtandaoni.
Jeshi la Polisi linawataka watajwa hapo juu wajisalimishe mara moja katika kituo chochote cha polisi popote walipo.
Aidha, Jeshi la Polisi bado linaendelea kuwatafuta watu wengine wanaohusishwa na mawasiliano hayo, huku majina yao mengine yakisalia kutotajwa kwa sababu