Kwahio hawatak kuvaa tena hijabu au
Maana sielewi
Mashia wana matatizo sana kama wayahudi na manaswara
True. It was the same with Roman empireMtaniamini tu siku moja, hakuna kitu kinaitwa serikali ya kidini ni usanii wa watu kujifanya wajanja ili wawatawale wengine na ndio maana hizo tawala ndizo za mabavu kuliko hata tawala zingine ambazo hazina huo usanii. Ni utapeli mtupu.
Mbona hata wewe hivyo huwa unavifanya licha ya kwenda jpili church!Wanavaaa hijabu, uku wanafanya ushirikina, kunywa pombe na kufanya sodoma na gomora.
Mimi sijaelewa, huko Iran ni wajibu kwa mwanamke kuvaa hijab kwa mujibu wa sheria zao walizojiwekea nchini?Hawataki kupangiwa jinsi ya kuishi, mambo dini hayapaswi kulazimishana bali inapaswa kushawishana.
Unamuua mwanamke kisa kijisehemu cha nywele zake kimeonekana utadhani wao ndio walimuumba.
OkHawataki kupangiwa jinsi ya kuishi, mambo dini hayapaswi kulazimishana bali inapaswa kushawishana.
Unamuua mwanamke kisa kijisehemu cha nywele zake kimeonekana utadhani wao ndio walimuumba.
Unafikiri kuvaa hijabu wamepangiwa na mamlaka ya kidunia au na Mungu wao alio waumba?Hawataki kupangiwa jinsi ya kuishi, mambo dini hayapaswi kulazimishana bali inapaswa kushawishana.
Unamuua mwanamke kisa kijisehemu cha nywele zake kimeonekana utadhani wao ndio walimuumba.
Mimi sijaelewa, huko Iran ni wajibu kwa mwanamke kuvaa hijab kwa mujibu wa sheria zao walizojiwekea nchini?
Unafikiri kuvaa hijabu wamepangiwa na mamlaka ya kidunia au na Mungu wao alio waumba?
Mamlaka ya kidunia ina enforce uamuzi/maamrisho ambao upo kweny vitabu vya dini
Ipo siku watakuja kuyajutia haya maneno. Ndio maana mtu alikuwa anakiuka mafundisho ya imani alikuwa anapewa adhabu kali ili kuzuia kizazi cha mauti na shetani kama hiki.Aisee nyieeeee!!! Ni kweli hayaaa?
Wanawake wa Iran ni shujaa kuliko vidume vya bongo, haya maisha haya
Sasa ni sheria ya dini tu au na nchi yao imeweka hiyo sheria ya kuvaa hijabu? Kwamba Iran kama nchi kuna sheria ya kuwataka wanawake kuvaa hijabu?Ndio sheria hizo za kidini za hovyo zilizopitwa na wakati, hauwezi ukalazimisha mtu masuala ya kidini, mshawishi kwa mbinu za amani na mahubiri ila sio unaua mwanamke kisa kipande kidogo cha nywele kimechomoza kwenye hijab, ni uzombi uliopitiliza kuendelea kulazimisha watu mambo ya kidini.
Tatizo waliyo nje ya hiyo dini wengi sana huyajua hayo uliyo yaeleza kuliko kujua hiyo dini inafundisha nini na ina misimamo gani, ni kawaida kumkuta muislamu anafahamu dini zengine mfano ukristo kuliko hata mkristo mwenyewe ila utaona wakristo wengi hawaufahamu uislamu zaidi ya story za ugaidi uchawi fujo n.k yani vitu vibaya vyenye kuhusishwa na uislamu nje ya uislamu.Masuala ya Mungu sio ya kulazimishana, kila mtu ahubiriwe kwa amani achague ipi ndio sahihi sio huo ujinga wa kukatana vichwa na kulazimishana udini. Huyo "allah" wenu kama kweli yupo, mbona yeye asifanye maajabu ya kuwapiga kwa radi au mavituko mengine wale ambao wamemgomea, kwanini mlazimishe watu kumuabudu.
Onyesheni kwa vitendo mlivyo wa amani, mhubiri amani kisha binadamu wenzenu watajichagulia, sio mnamuua mwanamke kisa kakipande ka nywele kameonekana, sijui kwanini hiyo dini yenu imekaa kikorofi na mauaji na vijimambo vya ajabu ajabu, mara mabikira mbinguni, mara mjilipue mabomu, mara mkate watu vichwa.....sijawahi kukaa niwaelewe.
Sasa ni sheria ya dini tu au na nchi yao imeweka hiyo sheria ya kuvaa hijabu? Kwamba Iran kama nchi kuna sheria ya kuwataka wanawake kuvaa hijabu?
Tatizo waliyo nje ya hiyo dini wengi sana huyajua hayo uliyo yaeleza kuliko kujua hiyo dini inafundisha nini na ina misimamo gani, ni kawaida kumkuta muislamu anafahamu dini zengine mfano ukristo kuliko hata mkristo mwenyewe ila utaona wakristo wengi hawaufahamu uislamu zaidi ya story za ugaidi uchawi fujo n.k yani vitu vibaya vyenye kuhusishwa na uislamu nje ya uislamu.
Ni sawa na mtu ambaye wewe uelewa wake wa ukristo ni yale tu mambo mambo mabaya yenye kuhusishwa na ukristo kama ndoa za jinsia moja, utapeli wa haya makanisa n.k
Kwani kuna dini gani sheria zake zilipatikana kwa mfumo wa kidomokrasia? Kuhusu Muhamad wenye kueleza historia yake ni waislamu wenyewe hivyo huwa nasema kama hilo jambo la kuoa huyo binti ni jambo baya basi wangelificha wasingeeleza ila limeelezwa hadi wewe unajua.Watu wamechoshwa kulazimishwa kuishi kwa sheria kandamizi za kidini zilizobuniwa na wanaume makatili wa wakati ule, huyo mohammed kwanza nilisoma sehemu alikua anagegeda katoto ka miaka tisa...https://www.quora.com/Did-Mohammed-marry-a-child
Kwani kuna dini gani sheria zake zilipatikana kwa mfumo wa kidomokrasia? Kuhusu Muhamad wenye kueleza historia yake ni waislamu wenyewe hivyo huwa nasema kama hilo jambo la kuoa huyo binti ni jambo baya basi wangelificha wasingeeleza ila limeelezwa hadi wewe unajua.
Sasa ukiangalia tu matendo ya watu sidhani kama utakuwa sahihi, kwa mfano unapoona matendo ya ndoa za jinsia moja katika nyumba za ibada za wakristo si utahukumu ukristo kwa hilo tendo au umeona wazungu huko(wengi wakristo) wanatetea haki za mashoga utahukumu ukristo kwa sababu hutaki kujua ukristo unaeleza nini.Dini ni matendo, tutaijua dini yenu kwa matendo, tunashuhudia mnakata watu vichwa kuwalazimisha dini na matendo mengine ya kishetani....sina haja hata ya kusoma vitabu vyenu, nafuata matendo yenu na kujua ilivyo dini yenu, maana pia nikiamua kusoma mlikoanzia nakutana na habari za alichofanya huyu mwarabu Did Mohammed marry a child?
Sasa ukiangalia tu matendo ya watu sidhani kama utakuwa sahihi, kwa mfano unapoona matendo ya ndoa za jinsia moja katika nyumba za ibada za wakristo si utahukumu ukristo kwa hilo tendo au umeona wazungu huko(wengi wakristo) wanatetea haki za mashoga utahukumu ukristo kwa sababu hutaki kujua ukristo unaeleza nini.
Tatizo hapo lipo kwako na kwa sababu umesema unaangalia matendo tu basi utalichukulia hilo la ndoa ya binti wa miaka 9 kwa sura ya mazingira yetu haya ila ndio maana nikasema kama hilo jambo lingekuwa baya basi lisingesemwa na usingejua.ha ha ha! Kumbe kweli huyo muarabu aligegeta hako katoto, yaani ndio nimejikuta nikiwadharau zaidi....ndio chimbuko lenu huko..duh!