Ndugu wana JF wote wale wanaochukia madhila kwa wananchi munaalikwa nyote katika maandamano ya kupinga kuwepo kwa BAR maeneo ya kiembe samaki maana imekuwa kero sana wanasumbua kwa miziki na fujo za walevi kesho alhamis tunaelekea mahakama ya mwanakwerekwe kupinga BAR kuwepo mitaa ya kiembe samaki muda na pahala pa kuanzia nitawajulisha shime tufike kwa wakati. Jambo lolote baya liondoe kwa mkono wako Ahasante