Uislam uko too physical...too manual!!! hauna ushawishi bali unatumia nguvu....hauna demokrasia bali ni ubabe tu!! mathalan mimi kwa hiari yangu nimeamua kwenda motoni, wewe unanilazimishaje? bila vishawishi, imani yako kwa Mungu utaipimaje? waislam mbona mna-group au mn-rank dhambi? ninachojua mimi ni kwamba hakuna dhambi ndogo wala kubwa bali zote ni DHAMBI....mfano chuki, kisirani, uongo ziko sawasawa na kuua, kuiba, uasherati na ufiraji. wekezeni kwenye elimu dini kwa raia wenu waache uasi including ulevi. hii pia ni ukosefu wa kazi, sie tuko bize huwezi kutushawishi eti jumapili baada ya ibada tuandamane kwa vile fulani kachora katuni ya kumkashifu YESU. Mungu wenu kafa kwamba hawezi kujitetea?