Ndugu wana JF wote wale wanaochukia madhila kwa wananchi munaalikwa nyote katika maandamano ya kupinga kuwepo kwa BAR maeneo ya kiembe samaki maana imekuwa kero sana wanasumbua kwa miziki na fujo za walevi kesho alhamis tunaelekea mahakama ya mwanakwerekwe kupinga BAR kuwepo mitaa ya kiembe samaki muda na pahala pa kuanzia nitawajulisha shime tufike kwa wakati. Jambo lolote baya liondoe kwa mkono wako Ahasante
anzeni kwanza kwa kupinga kuwepo kwa DANGULO LENU pale bwawani, basi ukiona hivyo hio baa; mmiliki wake ni mtu wa bara (mbongo), mbona hampingi kuwepo kwa lile DANGULO la mzanzibari wenzenu, au kwasababu ******* wanapatikana, halafu mkaandamane kwa kuwepo kwa kundi la nyumba zinazojihusisha na wasagaji na ******* pale kisima majongoo....!!! Hivi kuna watu wenye vitendo vichafu kama ninyi, asiyeijua zanzibar anaweza kufikiri ninyi ni wacha Mungu, lakini hapo ndio mlango wa JEHANAMU....!!!
bia hapana ,! alakini wanaume kupandiana kwa nyuma ruhusa,hivi nini tafsiri ya dhambi hapo? Alafu hili suala la kundi flani la watu kujiona wako karibu sana na muumba nalo sio zuri.atakae toa hukumu ni mola tu,sasa nyie mnao hukumu duniani hukumu yenu inakuja